Tuungane tu hakuna namna si umeona arteta kule ile next game ya epl anafungashiwa viragoMzee Ze-dudu naona unatamba tu na kibluetick Cha verification..
"Vipi bado hajafukuzwa tu"..hii Mimi naweza kutembea nayo msimu huu
Kimasihara tunakuwa kama arsenal sasa.tunasikilizia bonus, hii jeuri sijui tunaitolea wapi
- fred + matic + mctominay
- fabinho + henderson + thiago
- fernandinho + rodri + gundogan
- kante + jorginho = kovacic
Ila yule arteta wamemtega pabaya sana,ila kama angeshinda game ya brentford angekuwa na cha kusema.Tuungane tu hakuna namna si umeona arteta kule ile next game ya epl anafungashiwa virago
ongezea na hiitunasikilizia bonus, hii jeuri sijui tunaitolea wapi
- fred + matic + mctominay
- fabinho + henderson + thiago
- fernandinho + rodri + gundogan
- kante + jorginho = kovacic
Hapana...Arsenal hawana wachezaji wala kocha.Kimasihara tunakuwa kama arsenal sasa.
Yaani mpaka unashangaatunasikilizia bonus, hii jeuri sijui tunaitolea wapi
- fred + matic + mctominay
- fabinho + henderson + thiago
- fernandinho + rodri + gundogan
- kante + jorginho = kovacic
Pia anaanzisha .ashambulizi na ana pasi za mwisho.nilimsahau varane, naye ni mzuri sana kwa mipira ya juu
Jesse lingard kwa 25 hapo ni utapeli mtupu.timu yetu haiheshimiwi tena na vilabu vyengine ndio maana si ajabu tunateseka kwenye biashara ya kuuza na kununua mchezaji.
west ham wanaelekea kukamilisha usajili wa paundi millioni 25 kwa kurt zouma, kiupande wa pili wanaweka ngumu kulipa paundi millioni 25 kwa jesse lingard
Hapo namuona Liver kakalia kuti kavu.Man U kama kawaida mmepata kitonga lakini hamtatoboaView attachment 1909917