Utajikataa subiri hii ndo Kwanza mechi ya kwanza bado Manchester city wanaasilimia nyingi ya kuchukua ubingwa kuliko man united.all in all sioni wa kuizuia Chelsea msimu huu.
Nyie manyumbu hamna uwezo wa kuizuia Chelsea tutawachakaza Sana nyie kuwafunga hao magoli mengi ni kawaida hata msimu uliopita mliwafunga.ila Sisi Chelsea tutawachakaza nyie Sana.
Tofauti ya Chelsea na Manchester United ni kwamba Chelsea tuna kocha bora.mna kikosi kizuri but Chelsea tuna kikosi kizuri zaidi kila eneo tupo vizuri.
Hahaha kuna watu waliwahi kutoa maoni hapa tumnunue. Sina imani kabisa na pesa inayowekwa kumnunua mchezaji wa kiingereza (ni sawa na mtu anayenunua choo cha dhahabu). Can you imagine Grealish ana thamani kubwa kuliko Bruno?
Tofauti ya Chelsea na Manchester United ni kwamba Chelsea tuna kocha bora.mna kikosi kizuri but Chelsea tuna kikosi kizuri zaidi kila eneo tupo vizuri.