Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dawa ni kununuwa tu DM mwenye akili timamu..

Mbona city wananunuwa wanayemtaka!
Sasa hilo ni juu ya Ole na bodi..

Mimi nimepanga kikosi ambacho nahisi ndo strongest kama hatutosajili tena..maana dalili ya kupata sajili ya DM wa kueleweka naona hamna.
 
Sajili zetu zimekuwa za kuwafunga midomo mashabiki zaidi kuliko kutafuta matokeo uwanjani.
Tangu msimu wa 2020/2021 unaanza kila mtu aliona upungufu wa maeneo matatu kwenye kikosi cha manchester united;
1. beki wa kati...varane
2. winga wa kulia...sancho
3. kiungo cha chini....?
Kwanini tuingie kwenye ulingo ingali tukijua tuna mapungufu ya kikosi halafu tutegemee udhaifu wa adui kushinda pambano?
 
Ole anasema sajili hizi mbili tulizofanya zinatosha kabisa kabisa..na kama tutasajili tena itakuwa ni bonus tu.

Ole anaenda kuanza msimu na mapungufu ili apate sehemu ya kujificha au nini?..naona hivyo tbh.
 
Sasa hilo ni juu ya Ole na bodi..

Mimi nimepanga kikosi ambacho nahisi ndo strongest kama hatutosajili tena..maana dalili ya kupata sajili ya DM wa kueleweka naona hamna.
Huo mfumo wa kuweka mactoomy na fredy ndy unatufanya tusiwe bora..

Mfumo wa kuattack ni 433 ambao pengine acheze tommy peke yake au Freddy peke yake kama DM..
Wasicheze pamoja.

Lakini bado hawana kiwango bora cha kuchezesha DM mmoja
 
Ajabu kabisa..wakati kuna DM Russia na America kusini hawana majina lakini ni balaa .
Tungeweza kuwapata hata kwa 10 milioni.
 
Ajabu kabisa..wakati kuna DM Russia na America kusini hawana majina lakini ni balaa .
Tungeweza kuwapata hata kwa 10 milioni.
Niliwahi kusema.

Kutoa hela nyingi kwa wachezaji wa kingereza sio sahihi.

Ni wachezaji average sana ila ni gharama mno. No value for money.

Angalia Harry Kane anataka kuondoka Spurs. Ila hakuna timu ilioonesha serious kutaka mchukua.

Grealish unadhani ana hiyo thamani? Ame prove nini cha kumfanya anunuliwe kwa hiyo hela?

Verane tumetoa 45M ila Maguire tumetoa 80M. Wana utofauti upi?

Bruno angekuwa muingereza price tag yake ingekuwa not less than 120M.

Kuna wakati tuangalie vipaji toka nje ya UK.

Ila hii tabia ya kukumbatia hawa waingereza inazidi igharimu timu. Hakuna wachezaji wenye akili ya mpira. Mabenteke ndo yamejaa.

Bei alionunuliwa Bissaka alitakiwa apige kazi kama kina Dani Alves. Ila hakuna maajabu yeyote. Leo tunawaza tena kumchukua beki mwingine.
 
Acha kulinganisha hao vilaka wa man u na chuma kama grealish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…