Wapiga ramli bhana!!!!Hamna lolote subiri ligi ianze.....hii timu imewahi kuwa na Sanchez, lukaku, pogba, sijui rashford msumbufu lkn mkaishia wapi....cavani umri ushaenda anauwezekano mkubwa wa kupata pancha Sanaa, Sancho mtamkataa huyu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu utaficha wp aibu yako?
Man u ndy bingwa wa EPL 2021/22 save my comment.
Msimu wa ole wa kwnz man umwandende tusubir tuone mkuu umesikia ubashiri wa wachambuzi, wacheza kamari,wachezaji wa zaman (worldwide) unaoihusisha team yenu na ubingwa?
At the end jokes be come truenice joke
Kwenye hizo mechi tutapata points nyingi tu kwa sababu ukiondoa Leeds na Westham hizo zingine ni timu dhaifu sana.First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Hapa ole ataambulia point 9 tuuuFirst 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
if he quits his lazy attitude or its over for himAnthony Martial is back..
Mmeona upara wake lakini..he better score 20+ goals this season.
15 points in the bag..otherwise Ole na wachezaji watakuwa hawapo serious.First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Hapa ole ataambulia point 9 tuuu
Dili la verane tayari?
Varane anataka big club kama man u na sio club za msimu.Bado, Varane amekataa kujiunga na timu yetu. Amesema anataka timu zenye ushindani, anadai yupo tayari kujiunga na Chelsea ama Man City.
Tutapata 13 points.moja tuta draw kama atatumia 4-3-3..First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Ole King of disappointmentFirst 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Namna hii:First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.