D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
madrid hawana mpango wa kusajili mchezaji kwa msimu huu, hapo labda wamsubirie msimu ujao kwa free transfer.
N'golo kante.Naomba kutajiwa wachezaji watano waliotoka ligi kuu ya Ufaransa walioendelea kuonyesha kiwango bora ndani ya premier league
- Fabinho
Tatzo inavyoonekana Dogo hajataka kuja United. Anawasubiri Paris na Madrid.madrid hawana mpango wa kusajili mchezaji kwa msimu huu, hapo labda wamsubirie msimu ujao kwa free transfer.
paris sidhani kama ni sehemu sahihi kwake (ushindani ni mkubwa sana)
kwa uoni wangu PSG wanamuangalia zaidi paul pogba kuliko camavinga ila kama paul atakubali kubakia manchester ndipo watakaporudisha nguvu zao kwa camavinga kwa usajili huru msimu ujao.Tatzo inavyoonekana Dogo hajataka kuja United. Anawasubiri Paris na Madrid.
Hii kwangu naona sio nzuri kwa United kulazimisha mchezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena sana kwa hali ya sasaeuro millioni 40 ni parefu sana
Yeah, kuna uwezekano akasalia ufaransa(Rennes), japokuwa amekataa kusaini mkataba mpya.kwa uoni wangu PSG wanamuangalia zaidi paul pogba kuliko camavinga ila kama paul atakubali kubakia manchester ndipo watakaporudisha nguvu zao kwa camavinga kwa usajili huru msimu ujao.
kama ulivyogusia hapo juu upande wa camavinga bado unasita kufanya uamuzi (huenda akasalia ufaransa)
1.Bernardo SilvaNaomba kutajiwa wachezaji watano waliotoka ligi kuu ya Ufaransa walioendelea kuonyesha kiwango bora ndani ya premier league
- Fabinho
tatizo kubwa ni yule mwendawazimu mino raiola, anaweza kuwazungusha manchester kwa takribani msimu mzima baadae paul aondoke bure msimu ujao kama ulivyogusia kwa donnarumma.Ishu ya Pogba, naona kama ataondoka bure sioni dalili za kusaini mkataba mpya, na PSG wanapenda deals za namna hiyo( refer kwa Wignadam na Donarumma).
Sisi tuna averega players na tunataka kuuza kwa gharama.ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Mishahara mikubwa tunayowalipa ndio tatizo.ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Fofana pia hata martialN'golo kante.
Eden Hazard
Patrice Evra
Eric Cantona.
Na yule dogo wa Leicester City.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao career zao zinakuwa zimeshapoteza mwelekeo hivyo hawanunuliki.ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Kipindi cha nyuma Woodward alikuwa anafanya usajili kama ananunua suruali kariakoo.Dirisha hili la Usajiri Manchester United imepunguza kuhusishwa na wachezaji wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna lundo la wachezaji inabidi wauzwe ila tunaona porojo tu..ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Kipindi cha nyuma Woodward alikuwa anafanya usajili kama ananunua suruali kariakoo.
Anajaribia kila nguo na wale wapiga debe (agents) kila wakimstua anafuata kwenda kujaribia.