Hiki kikosi chetu kina young stars wengi wenye talents ila kina hitaji management nzuri sana ili waive waje kusaidia timu..Watolewe kwa mkopo sehemu watakazoenda kuiva zaidi.
Acha aende tu, tukibaki naye hatapata muda. First option RW ni Sancho kwa next season (PL, UCL) Greenwood/James ni second options (FA, League Cup) bado kuna Amad, atacheza baadhi ya games.