Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hehehe mambo ni mengi mkuu. Vip sasa nipatie ile namba yako kuna RAIA wa nataka kusafiri.Nachowapendea chelsea wakiongozwa na mafia abromovich, hua hana longolongo na mambo muhim kama haya ya usajili..
Sisi makocha na wamiliki waingereza unabembeleza mtu kwa miaka mitatu, kuongeza pesa ama kutoa unaona kazi..
Doha City
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1851743
Kitandani kwakoMan united mnakwama wapi?
Yupo vizuri kwa kiasi chake..nilimuona nikasema beki huyu ana kasi sana.Kuna yoyote amemfuatilia vizuri Joakim Mahle wa Denmark kwenye Euro ?
Namuona jamaa ni bora mara mia kuliko Kierian Trippier halafu ana miaka 24 tu.
Jamaa ni mrefu na anaspeed safi anapanda sana kushambulia lakini pia anafanya tackles nyingi.
Atakuwa na msaada ndio..ishu ni bei tu atakayokuja nayo.sio anakuja kwa pricetag ya £50mHuyu Veteran atakuwa na msaada wowote kwenye rebuild yetu ?
Hasa ukizingatia Diogo Dalot amerejea kikosini pamoja na Wan Bissaka, na Brandon William hajaondolewa
Kuna ile beki ya kulia ya Uholanzi pia. Alinikosha sana yule dogo.Kuna yoyote amemfuatilia vizuri Joakim Mahle wa Denmark kwenye Euro ?
Namuona jamaa ni bora mara mia kuliko Kierian Trippier halafu ana miaka 24 tu.
Jamaa ni mrefu na anaspeed safi anapanda sana kushambulia lakini pia anafanya tackles nyingi.
Yeah ila mimi nilikuwa impressed zaidi na Joachim Mahle anacheza vizuri sanaKuna ile beki ya kulia ya Uholanzi pia. Alinikosha sana yule dogo.
Sioni kama Trippier kwa umri wake kama atatuongezea chochote kwenye rebuild yetu.Atakuwa na msaada ndio..ishu ni bei tu atakayokuja nayo.sio anakuja kwa pricetag ya £50m
Bailly af sio mzee kihivo sema tu injuries..Sioni kama Trippier kwa umri wake kama atatuongezea chochote kwenye rebuild yetu.
Wakati wa Mourinho tulisajili wachezaji wengi sana wenye umri mkubwa matokeo yake kikosi ndani ya msimu mmoja kikawa hoi.
Sasa hivi tunawazee hawa.
1 Juan Mata
2. Matic
3. Phil Jones
4. Bailly
5. Lee Grant
6. Tom Heaton
7. Cavani
Huyu Trippier ana muda gani wa kukaa kikosini akiwa kwenye top form ?
Hakuna mchezaji kijana mwenye kupata injury mfululizo miaka mitano na kila injury anakaa mwaka mzima hospitalini.Bailly af sio mzee kihivo sema tu injuries..
Lakini kwani mkuu tunataka 100pc upgrade ya AWB au nini?yaani mtu wa kumtupa AWB benchi mazima..if that the case uko sawa..
Sasa tutakuwa tunatafuta fullback wa nini kama hatujaona kuwa Bissaka ameshindwa kufikia matarajio yetu ?Bailly af sio mzee kihivo sema tu injuries..
Lakini kwani mkuu tunataka 100pc upgrade ya AWB au nini?yaani mtu wa kumtupa AWB benchi mazima..if that the case uko sawa..
Mimi naweza kusema kuwa AWB amecheza poa tu na naweza kumpa asilimia 75.shida ni kwenda mbele ambapo pia nadhani ni kwa sababu ya kukosa overlaping wing mzuri huo upande...naamini Sancho atabadilisha mambo.Sasa tutakuwa tunatafuta fullback wa nini kama hatujaona kuwa Bissaka ameshindwa kufikia matarajio yetu ?
Sijasema kuwa amefeli kutupa tunachokitaka ila kwa uchezaji upande wetu wa kulia utaendelea kuwa wa kawaida sana bila modern fullback labda Bissaka abadilike sana msimu huu.Mimi naweza kusema kuwa AWB amecheza poa tu na naweza kumpa asilimia 75.shida ni kwenda mbele ambapo pia nadhani ni kwa sababu ya kukosa overlaping wing mzuri huo upande...naamini Sancho atabadilisha mambo.
Kumpata beki anayeweza kukaba na kuwaweka mfukoni mawinga machachari kama AWB na pia awe na uwezo mkubwa wa kushambulia sio kazi ndogo..lazima tu tucompromise kimoja kwa asilimia fulani na huo uwekezaji inabidi uwe massive sio huu ambao tunataka kuufanya..huu ni wakumpa changamoto tu kama ilivyo Telles kwa Shaw.
Inaitwa Atalanta.Ila sijaona akihusishwa na timu yoyote kubwa ni beki wa Atlanta