Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usajili wa Eduardo Camavinga utakuwa ni taarifa rasmi za mkono wa kwaheri kwa Dylan Levitt, James Garner, Nemanja Matic na probably Paul Pogba kama ataendelea kukataa kuongeza mkataba
 
James Garner ni DM mzuri sana ila kwa umri wa Fred na Scott huenda maisha yake United yakawa magumu kidogo huko mbeleni
 
Nimekuwa realistic tu..Bei yake..Dan Levy mgumu sana..na sidhani kama tumetenga zaidi £270m za usajili summer hii.

Kumbuka tunahitaji CB na Kiungo pia.
Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.

Je akiumia itakuwaje?
Lazima awe na back up striker wa kubadilishana.

Hata Danny ings angetufaa kusogeza siku.
Kuliko kuingia next season bila back up striker.
 
Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.

Je akiumia itakuwaje?
Lazima awe na back up striker wa kubadilishana.

Hata Danny ings angetufaa kusogeza siku.
Kuliko kuingia next season bila back up striker.
Namba tisa yupo Cavani+Greenwood+Martial.

Though Ings pia angesaidia..Martial nadhani ni muda wa kumuondoa sasa

Nadhani mwakani baada ya Cavani kuondoka itabidi iwe proper time ya kupata World class number 9..na harakati hizo za kumpata huyo mtu zianze kuanzia nyakati hizi.
 
Kusema ukweli tunahitaji mlinzi wa kati sana, Harry na Victor sina imani kubwa sana nao. Sioni kama wanatengeneza solid partnership.

Nitafarijika sana mmoja kati ya Jules Kounde au Sven Bortman akijunga nasi. Raphael Varane ni mfuko wenye gharama.
 
Mkuu unataka usajili timu nzima msimu mmoja tu?
Kama tunahitaji makombe toa wapuuzi wote. Ingiza wachezaji wenye akili.

Timu inahitaji maeneo 4 muhimu sana.

Wangalie city ,,ni timu bora lakini bado wananunuaa watu wa maana,
Sasa kama man u wataendelea kuingiza next season na mapungufu yake yale,
Basi ubingwa tusahau.

Back up striker... Ole ameshasema cavani atacheza 60% kutokana na umri wake.
Je hyo 40% atacheza nani kama striker?..

Center back..tukiendelea kuwategemea akina lindleof na beily basi ubingwa tusahau.

Defense mediflder.. Ni muhimu ili kubalance timu na tuwe attacking zaidi.
Kuendelea kutumia double DM ni kupunguza makali ya attacking..
DM ni muhimu sana ndy maana .
Timu inasaka DM wa maana ili kuachana na kucheza double DM.

Kwa timu yenye kusaka makombe kununuwa wachezaji wanne ni jambo la kawaida sana.
Kutokana na ushindani wa timu zilizopo.
 
Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.

Je akiumia itakuwaje?
Lazima awe na back up striker wa kubadilishana.
Anthony Martial yupo.
Hata Danny ings angetufaa kusogeza siku.
Kuliko kuingia next season bila back up striker.
C'mon! Acha mzaha Jombaa, Ings? Huyo sio aina ya mchezaji wa timu kubwa.
 
Gareth Southgate anatumia double pivot je Uingereza ina mapungufu kwenye defence ?
 
Martial,, greenwood tutarudi kule kule zama za nafasi ya 6.

Striker gani hafungi kwa kichwa?

Tafuta striker za kazi mfano wa cavani..
Tufunge biashara mapema,,vinginevyo city atatuburuza maisha.
 
City haikujengwa msimu mmoja.
 
City haikujengwa msimu mmoja.
Kila mwaka city ananunuwa wachezaji si chini ya 4.

Tena watu na nusu na robo..

Mfano bila cavani man u tungekuwa nafasi ya ngapi?

Mfano tungewategemea hao mnaowaita striker.
Martial na greenwood pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…