D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Spain wameshamtengenezea mazingira ya kuwa goal keeper namba mbili kwa timu zote anazozitumikiaHahahahaa Degea hakuna timu inayoweza kumudu mshahara wake ($375k/weekly). Naamini ataleta instability eneo la golini msimu ujao, Ole atarudia ujinga wake wa kutokujua golikipa wake #1 ni yupi. Hii itawafanya wote wawili wawe wabovu zaidi watapoteza kujiamini wote.
Hata mimi nimeshtuka sana nilipomuona leo nikajiuliza mara mbili mbili. Touch zake sio za kubahatisha kabisa.leo ni mara yangu ya kwanza kumuona huyo bwana mdogo
amenikumbusha work rate ya shaun right phillips.
mbio, dribbling, nguvu, 1 vs 1 pia ni mzuri sana
fullback wa Italy alikuwa hasogei mbele, walichokua wanakosea belgium ni kulazimisha mashambulizi yao kuanzia upande wa kulia. Eneo ambalo ndio lililobeba nguvu ya Italy kuanzia kiulinzi hadi mashambuliziHata mimi nimeshtuka sana nilipomuona leo nikajiuliza mara mbili mbili. Touch zake sio za kubahatisha kabisa.
jana amefanya saves 10 ndani ya mechi moja na tokea ilipoanza euro 2020 hakuna kipa aliyefikia rekodi hiyoYann Sommer? Sijaangalia hii mechi. Amefanya nini?
Amepiga mzigo sana.Yann Sommer? Sijaangalia hii mechi. Amefanya nini?
Baada ya De gea kuonyesha decrine,Hahahahaa Degea hakuna timu inayoweza kumudu mshahara wake ($375k/weekly). Naamini ataleta instability eneo la golini msimu ujao, Ole atarudia ujinga wake wa kutokujua golikipa wake #1 ni yupi. Hii itawafanya wote wawili wawe wabovu zaidi watapoteza kujiamini wote.
anadribling nzuri sana na hachoki mapema muda wote anakimbia, workrate ya juu sana lakini end product yake sio nzuri, cross zake hazifikii walengwa, mashuti yae sio accurate sana (anapaisha) ila ndio kwanza ana 19 labda ataimprove katika hizo eneo mbiliSo far, hii michuano ya euro kuna bwana mdogo wa ki-Belgiji anaitwa Jeremy Doku ameni-surprise sana. Sikuwahi kumfahamu kabla ila ana kipaji kikubwa sana.
Arsenal umeama lini?Man City hapa
Greenwood unambeba utaifa, na siunajua sisi ngozi ya tako thamani yetu iko chini!Huyu dogo ni zaidi ya Greenwood amini kwamba japo namkubali sana Greenwood.
Mata angepitishwa hivi tu, sioni umuhimu wake, kama wazee mbona tunae Cavan anatosha kulea vijana.Huyu Mata wa nini tena...au ni ile ya "Kijiji ni lazima kiwe na wazee"??
KafanyajeKipa wa Switzerland.
Me mwenze huyu mwamba sijawahi kumuona langini hata siku moja.Lee Grant kaongezwa mkataba pia View attachment 1838141
Tuweni wakweli Mason Greenwood ana uwezo mkubwa sana kumlinganisha na Amad tu ni tusi kwake.Greenwood unambeba utaifa, na siunajua sisi ngozi ya tako thamani yetu iko chini!
Ningependa jamaa (Amad) angeenda kwamkopo timu yeyote pale EPL ili apate uzoufu wa ligi.
Msimu wake watatu huu amecheza mechi mbili tu na moja alitokea Sub ya pili alicheza na Fk Astana akafungwa.Me mwenze huyu mwamba sijawahi kumuona langini hata siku moja.
Hata mwaka tulio msajili siujui, sijui tulimsajili kutoka Club gani, yani naishia kumuona mitandaoni tu.
Siyo jana tu hata mechi ilopita alicheza vizuri sanaHata mimi nimeshtuka sana nilipomuona leo nikajiuliza mara mbili mbili. Touch zake sio za kubahatisha kabisa.
Hiyo inaweza kurekebishika!anadribling nzuri sana na hachoki mapema muda wote anakimbia, workrate ya juu sana lakini end product yake sio nzuri, cross zake hazifikii walengwa, mashuti yae sio accurate sana (anapaisha) ila ndio kwanza ana 19 labda ataimprove katika hizo eneo mbili
Msimu wake watatu huu amecheza mechi mbili tu na moja alitokea Sub ya pili alicheza na Fk Astana akafungwa.
Kifupi jamaa ni shati tu sema ndiyo hivyo timu yetu haina mwelekeo wowote.
Yani ndani ya misimu mitatu kacheza game mbili tu?Msimu wake watatu huu amecheza mechi mbili tu na moja alitokea Sub ya pili alicheza na Fk Astana akafungwa.
Kifupi jamaa ni shati tu sema ndiyo hivyo timu yetu haina mwelekeo wowote.