Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi mashabiki na Media tutaquestion uwezo wake vizuri..achana na hii pressure mkuu.

Yaani let's say next season tunamaliza nje ya top four na bila kombe lolote..kitu ambacho kinawezekana vizuri tu,msimu wa 2022/2023 Ole atakuwa on the wheel?
Mkimaliza top 2? Bila kombe lolote?
 
kwa nilivyomuona mbappe toka Uefa iliyopita hadi hizi Euro aiseh sitakuja tena kumlaumu Rashford.....na wala rashford sio mchezaji gharasa
Ndo wachezaji wa zama hizi.

Walamba midomo tu.

Ndo maana nasema kila siku. Ukiachana na majina, inabidi tutafute majembe yasio na majina ambayo yanajua nini kinatakiwa kufanyika.
 
Kocha anaondoa majembe anabakisha vilaza.

Akija kocha mwingine atataka watu wengine upya.

Tatizo la United lipo chini sana kuliko tunavyodhania.

Kuna wachezaji wameondolea hawakutakiwa kuondoka na kuna wachezaji wamebaki hawakutakiwa kubaki.
Kilichokuwa kinatugharimu hapa tulikuwa tukitumia British model (obsolute now) ambayo inampa mamlaka kamili kocha la kufanya lolote na timu hata kuuza majembe maana hana immediate football boss. ( The Brits model has proven to be like playing Russian roulette)

European model ambayo kwa sasa tupo ktk transition ndio best, You just need proper football men in the Director of football role and Transfer Chief, they decide what kind of football is played, the players who suit the style of play and crucially a coach who fits the player and club.
 
Hii ndo inahitajika kwa sasa.

Bora kocha aondoke kuliko wachezaji wa muhimu.

Kumpata kocha mwingine ni rahisi kuliko mchezaji wa muhimu.
 
Mbona inshu ya Hererra ilishaelezewa humu, sana.
We hayo maneno kwamba OLE alimuondoa Hererra, umeyatoa wapi?
 
Hii ndo inahitajika kwa sasa.

Bora kocha aondoke kuliko wachezaji wa muhimu.

Kumpata kocha mwingine ni rahisi kuliko mchezaji wa muhimu.
Ndani ya hii European model kocha hakai muda mrefu kama habebi makombe. Mabosi wake (DoF & Transfer Chief) wanamkalia kooni muda wote maana na wao wanapaswa kujibu kwa mtendaji mkuu na bodi. Huu mfumo unatumika pia na Real Madrid, Barcelona, Bayern, Juve, Man City..

Kama huu mfumo ungeanza msimu uliopita Ole angeonyeshwa mlango wa kutokea kama Zizzou na Andrea Pirlo walivyofanyiwa na Real pamoja na Juve. Mpaka hapa ninapoandika Ronald Koeman ameishapewa ultimatum na Barcelona msimu ujao lazima abebe La liga. Sisi timu yetu kocha alikua anafukuzwa mpaka mashabiki waandamane.
 
Kwa jinsi nilivyomuona Kalvin Phillip's leo ni heri tutumie pesa nyingi kumsajili yeye na siyo Declan Rice.
You're joking, right? Waingereza wana gharama kubwa sana pia usiwaamini. Hawa tuwapandishe tu kutoka timu za watoto, hatupaswi kupoteza pesa kuwanunua.

Kama kuna umuhimu wa kusajili DM basi bora tumnunue Joao Palhinha. Huyu anakuja kufanya kazi zaidi hao waingereza kwa gharama zaidi ya nusu tukayopigwa na Leeds (Phillips) au Westham (Rice).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…