Yaah akiwa bolton..ishu yake watu walidhani tayari kashadead..ila mwamba aliamka.Wazungu wanapambana sn, nilikuwa na matumaini kdg cz nilikumbuka issue ya Patrice Muamba.
Acha tu daaahNaona Eriksen ameamka bhn kwa uwezo wa Allah.
Rashford ni wale wachezaji ambao mechi za muhimu analeta ubrazameni.Rashford kafika mwisho wa uwezo wake.
Greenwood ana record kubwa kuliko yeye na amepewa game time chache kuliko rashford..
Na atazidi kung'aa hapo baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Abaki na hayo ya kulisha watoto.Ana mambo mengi mara chakula kwa watoto mashuleni.
Umesahau yule dogo alikufa uwanjani hapa bongoYaah akiwa bolton..ishu yake watu walidhani tayari kashadead..ila mwamba aliamka.
Sema pia health system za wenzetu ziko poa sana..wana hadi maECG uwanjani..hapa bongo aisee tusiombee mchezaji apatwe na ishu kama ile.
Angekuwa anaanza kutoa harufu saizi.Yaah akiwa bolton..ishu yake watu walidhani tayari kashadead..ila mwamba aliamka.
Sema pia health system za wenzetu ziko poa sana..wana hadi maECG uwanjani..hapa bongo aisee tusiombee mchezaji apatwe na ishu kama ile.
groin injury imemuondoa kwenye michuano ya EURO,van de Beek-Netherland
Ametolewa kwa injury ndio..groin injury imemuondoa kwenye michuano ya EURO,
baadhi ya media uchwara zimeripoti taarifa za klabu ya Arsenal kumuhitaji Donny
teh teh teh
Unaingia ndani mkuu, ni hatari sana km ukiumeza alafu usipatiwe huduma bora ya first aid.Ivi ulimi unamezwaje???
Asante kwa maelezo mafupi lakini lengo langu nimuelezee mtu na asiniulize swali lolote......Unaingia ndani mkuu, ni hatari sana km ukiumeza alafu usipatiwe huduma bora ya first aid.
First XI hapo hawazidi wa tano. Pogba, Rashid, Pernandez, mctommary labda na De Gea ..hao wengine wanaitwaga kujaza nafasi zilizoachwa wazi
Ukienda kwa Chelsea Sasa ..Mount Ndani, Chilwell ndani, James ndani, Silva ndani, Pulisic ndani, Jorgihno ndani, Gilmore ndani, Kai, Rudger na Werner wote ndani hehehe bado Nani mwingine .. Mendy ndani, Giroud, Kante ndani, hehehe sisi hatunaga bench wormer na Kama wapo ni wachache Sana hehehe This is Chelsea.
#CFC
Mlikuwa na mihemko ..Hivi zilitolewa sababu gani wakati Lukaku anauzwa?
Mkamleta na ighaloHivi zilitolewa sababu gani wakati Lukaku anauzwa?
Walisema hajui kutuliza mpira na ni mzito uwanjani.Hivi zilitolewa sababu gani wakati Lukaku anauzwa?
Nilikuwa sehemu ya ule mjadala wa kijinga na nilikuwa sehemu ya wanafiki (siku nitamsifu romelu, siku nitamtukana romelu),Walisema hajui kutuliza mpira na ni mzito uwanjani.
Wote tulikuwa kundi moja kuna siku Lukaku tulikuwa tunamtupia lawama sana na tunawaacha Rashford na Martial.......ila alikuwa mchezaji mzuri na ajabu mpaka sahizi ile ela ya Lukaku haijasajili mrithi wake (ighalo na Cavani hawajatumia hata asilimia 20 ya ile pesa ya kuuzwa lukaku)Nilikuwa sehemu ya ule mjadala wa kijinga na nilikuwa sehemu ya wanafiki (siku nitamsifu romelu, siku nitamtukana romelu),
tuliaminishwa mfumo wa Ole unamhitaji mshambuliaji anayeweza kutokea pembeni na ili uwe na uwezo wa kutokea pembeni unatakiwa uwe na speed, miguso ya uhakika ya mpira (first touch), umiliki wa uhakika wa mpira (ball control).
romelu japokuwa sikuongezei chochote kwenye maisha yako ila bado nitakuomba msamaha.
cha kushangaza romelu ameondoka na hakuna badiliko lolote la kimfumo,Wote tulikuwa kundi moja kuna siku Lukaku tulikuwa tunamtupia lawama sana na tunawaacha Rashford na Martial.......ila alikuwa mchezaji mzuri na ajabu mpaka sahizi ile ela ya Lukaku haijasajili mrithi wake (ighalo na Cavani hawajatumia hata asilimia 20 ya ile pesa ya kuuzwa lukaku)
Sosha alijikuta fegi nayeye alitaka kuweka legacy yake mwishowe anaharibu daily kama lampard kwa kanteHivi zilitolewa sababu gani wakati Lukaku anauzwa?