The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kwamba hawataki watz kwenye tm ya Tz, kweli inachekeshaMtu umekazana huwataki wachezaji wa kiingereza kwenye team iliyopo Uingereza, Hii dunia ina mambo sana. Mbona mafanikio yetu kwa asilimia kubwa tumepata tukiwa na hao hao waingereza?
Hao ndio wanaijua ligi yao aiseee bila wao ndoo unabebaje ya epl wenger aliwatema hawa na hajabeba epl mpaka anaondokaKwamba hawataki watz kwenye tm ya Tz, kweli inachekesha
Waingereza wa enzi za kina Rooney na Beckham.Hao ndio wanaijua ligi yao aiseee bila wao ndoo unabebaje ya epl wenger aliwatema hawa na hajabeba epl mpaka anaondoka
Point yangu ni kwamba zama za sasa za akina rashford Hakuna watu wa kazi kama kipindi kile cha akina Rooney na Ronald.Unatumia wishful thinking jaribu kuleta takwimu za Ronaldo akiwa 22 years na za Rashford akiwa 22 years.
Kumtathmin Rashford kwa takwimu hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake zinambeba sana kwa umri wake.
Wayne Rooney na Rashford katika umri alionao Rashford walikuwa na takwimu sawa tu na alizonazo Rashford kwa sasa. NB sisemi kuwa Rashford ana ubora sawa na hao viumbe hapana ila ukitumia takwimu analingana nao katika umri sawa.
Tuangalie mapungufu ya Rashford kwa mzani tofauti na siyo takwimu.
Unapozungumzia wakati nakushangaa sana kipindi cha Kina Rooney na Ronaldo kiliruhusu expression of talents uwanjani kuliko hivi sasa ambao wachezaji wanakuwa limited sana.Point yangu ni kwamba zama za sasa za akina rashford Hakuna watu wa kazi kama kipindi kile cha akina Rooney na Ronald.
Ni kwl rashford ni tatu ktk ufungaji as teenager Manchester united nyuma ya Rooney.
Lakini je amecheza wakati gani?
Rashford bado hayupo timam mkuu..
Nikisema kipindi cha akina Rooney na Ronald namaansiha kwamba,Unapozungumzia wakati nakushangaa sana kipindi cha Kina Rooney na Ronaldo kiliruhusu expression of talents uwanjani kuliko hivi sasa ambao wachezaji wanakuwa limited sana.
Sijajua unamaanisha defenders walikuwa katili sana lakini takwimu za sasa wachezaji wanacheza striking force wameongezewa majukumu ya pressing na kutrace back hivyo wanarom uwanja mzima.
Kingine sasa hivi timu nyingi zimebadili sana mifumo ya ukabaji unaanza kukabwa na striker mwenzio kabla hata hujafikia defenders huoni kwamba kwenye mpira ulikuwa na uhuru uwanjani Rashford angekuwa threat sana?
Nyumbu boys huwa mnajadili Nini huku Kila siku.
Unategemea wapuuzi Kama Linderlof na Rashford upate ubingwa, wapuuzi
Sasa Kila siku mnajadili timu Ile Ile haina mbele wa nyumaWe are the only sports club thread most viewed because we discuss matters if utmost interest in global soccer...we are Manchester United fanbase...