Mkuu wakati kipindi Ronaldo ana miaka 22 alikuwa timamu sana kuliko rashford.Huwezi jua pengine angekuwa wa moto zaidi.
Mimi pia najua Rashford ana mapungufu mengi sana uwanjani lakini ukitumia graph ya takwimu atakuumbua. Kwa sababu takwimu zake kila msimu zinapanda.
Hebu kaangalie Ronaldo wakati ana 22 years kama Rashford alikuwa na magoli mangapi ?
Kutumia takwimu kumchambua Rashford hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake ni nzuri kuliko mchezaji mwingine yoyote wa united post Ferguson era.
Sana sana tuishie kwenye kuangalia mapungufu yake uwanjani tu.
Ndio maana sijataka kuingilia kabisa huo mjadala bora umekuja nisaidia.....Mkuu wakati kipindi Ronaldo ana miaka 22 alikuwa timamu sana kuliko rashford.
Rashford ana utoto mwingi sn.
Ubinafsi sn.
Na takwimu zake zinaongezewa na ulegelege wa beki za kipindi cha sasa.
Sidhani kama ingekuwa msimu wa beki akina vidic zile za kula mavi kama angefika hata goli 5..
Waongeze na centre midifilder Mwenye utimamu wa mwili na akili aina ya Carrick,,United wapigane kumpata Harry Kane, Sancho na Beki wa kulia tu ubingwa utakuwa wetu msimu ujao.
Now mabeki wapo soft sana.Ndio maana sijataka kuingilia kabisa huo mjadala bora umekuja nisaidia.....
Unatumia wishful thinking jaribu kuleta takwimu za Ronaldo akiwa 22 years na za Rashford akiwa 22 years.Mkuu wakati kipindi Ronaldo ana miaka 22 alikuwa timamu sana kuliko rashford.
Rashford ana utoto mwingi sn.
Ubinafsi sn.
Na takwimu zake zinaongezewa na ulegelege wa beki za kipindi cha sasa.
Sidhani kama ingekuwa msimu wa beki akina vidic zile za kula mavi kama angefika hata goli 5..
Center midfielder wa sifa unayemtaka tayari yupo Paul PogbaWaongeze na centre midifilder Mwenye utimamu wa mwili na akili aina ya Carrick,,
Mwenye uwezo wa kuhamisha mpira upande mmoja kwenda wa pili,,
,,mambo ya kuwachezesha sunche na kapeto pamoja ni udhaifu mkubwa sn.
Pia ni kama tunawachosha akina Bruno.
Inapaswa attacking iwe more kuliko 2 defensive medefilders.
Hivi wazo la kumpeleka AWB CB haliwezi kuzaa matunda?..United wapigane kumpata Harry Kane, Sancho na Beki wa kulia tu ubingwa utakuwa wetu msimu ujao.
Nyie hata msajiki malaika kutoka mbinguni +messi + ronaldo ..✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Mkuu umesahau ndani ya muda mfupi hivi? United hii tetesi ita trend hadi mwisho wa msimu ndio sancho apatikane au asipatikane kwa sababu za hovyo kisha tunatafuta wa kutulizia mzuka wa mashabiki.Sancho anakaribia kutua baada ya kumpata natamani kuona tunasajili wachezaji wengine watatu centre back right back na defensive mido
Mkuu sema inabaki kumfukuza Ole tu✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Huna kocha wa kukupa ubingwa hata aje Messi na CR7 kwa pamoja.United wapigane kumpata Harry Kane, Sancho na Beki wa kulia tu ubingwa utakuwa wetu msimu ujao.
Nani akupe wachezaji wote hao?✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Halafu Fullback acheze nani ?Hivi wazo la kumpeleka AWB CB haliwezi kuzaa matunda?..
Heri tuweke kipaumbele kwa Right wing na striker then Right Back.✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Wanasubiri nn tunanjaa asee✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Sunche na Kapeto [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]✓Kane/Haalland
✓Sancho
✓RB
✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.
Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole