Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inakera sana.
 
Kama tunataka kuwa mabingwa basi tutafute watu waliowiva tayari.
Dogo nimemuangalia sn bado,,
Anahitaji muda kuiva.
Tena huyo Donny ni bora kuliko huyo.

Man u ni timu kubwa inahitaji wachezaji wakubwa.
Wenye uwezo mkubwa.
Sio kama huyo Dogo.
Nani ataziba pengo la Pogba ?
 
Sergei Gnabry na Riyadh Mahrez
Kwa upande wa stats za 20/21

Sergei gnarby

matches 27
Goals. 10
Assists. 6

Sawa na GA ya 16

Mahrez

matches 27
Goals. 9
Assists. 6

Sawa na GA ya 16 pia

Sancho

matches 38
Goals. 16
Assists. 20
Hivyo ana GA ya 36

Tukingalia Umri pia, tukianglia aina ya timu aliyopo, na kuwa fit hadi kucjeza hizo mechi 38 namchukua Sancho
 
Sancho nimemwamngalia sna,
Nichezaji Mwenye vitu Vingi sana.
Kwa kifupi man u tunamuhitaji sana sacho.

Kama man u wakileta ubahili wao na kuwaacha Chelsea wamchukuwe ,
Basi tutaahindwa mapema sn mbio za ubingwa msimu ujao.
 
Nani ataziba pengo la Pogba ?
Pogba pia hapaswi kuuzwa..
Na hata kama atauzwa huyo Dogo hana uwezo wa kuziba pengo la pogba.

Still duniani bado pana watoto wanajuwa sn,
Sijuwi kwann man u wanashindwa kutafuta wachezaji wa
kazi wasio na maringo.
Hivi ni nani alijuwa kama Bruno angemfunika pogba?

Wapo wachezaji kibao aina zaidi ya pogba duniani.
Tukawapata na tukasahau mambo ya kutishia kuondoka kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…