Narudia tena kusema ole katengeneza timu inatosha sasa asepeshwe tu aje kocha wa kubeba makombe.....rejea madrid ya zidane iliyosukwa na carlo na mouNadhani wote tumeona Vhelsea alichofanya jana......Nimejifunza sisi hatuwezi kutwaa ubingwa wowote kwa sababu hatuna kocha mwenye uwezo wa kuwa mchezaji wa 12 uwanjani akashinda timu pinzani kwa mbinu na kuzuia makali ya timu nyingine.....
Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....
Nimejifunza hatupo mbali kurudi juu, maana Lampard ni sawa na Ole na kocha aliebeba mafanikio yetu atakuja baada ya Ole kijana wa rebuild
ni kweli mkuu tutamlaumu bure akiendelea kuwepo nafikiri akija kocha ambae kimbinu yupo imara zaidi basi atatupa makombe maana kazi ameishaifanya Ole.Narudia tena kusema ole katengeneza timu inatosha sasa asepeshwe tu aje kocha wa kubeba makombe.....rejea madrid ya zidane iliyosukwa na carlo na mou
Kabisa yani ole kama mwalimu wa shule ya msingi ametuweka pazuri ila kutuvusha hapo sidhani kama anaweza, tunahitaji kocha mshindi sasa hivi.Nadhani wote tumeona Vhelsea alichofanya jana......Nimejifunza sisi hatuwezi kutwaa ubingwa wowote kwa sababu hatuna kocha mwenye uwezo wa kuwa mchezaji wa 12 uwanjani akashinda timu pinzani kwa mbinu na kuzuia makali ya timu nyingine.....
Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....
Nimejifunza hatupo mbali kurudi juu, maana Lampard ni sawa na Ole na kocha aliebeba mafanikio yetu atakuja baada ya Ole kijana wa rebuild
Yale makina Rudiger yakikamia hutoki *****..yanacheza kiutu uzima.Ile ndio chelsea bana.......
Timu pekee england yenye uwezo wa kuzuia mashambulizi dakika 90 na mpinzani akaondoka bila kupata bao.....
Roy hogdsonKocha gani hana mizuka banaamekaa masaa yote kakunja nne kama yuko baa, sijawahi kuona kocha asie na mizuka katika mpira ndo kwanza Ole kama yupo mniambie ni nani anakaaga dakika 90 kakunja nne. Hana amsha amsha ndo mana hata wachezaji pia wapo nyoronyoro.
Haka kakocha kana vitu viwili vitatu kakivurekebisha katakuwa poa....Kocha gani hana mizuka banaamekaa masaa yote kakunja nne kama yuko baa, sijawahi kuona kocha asie na mizuka katika mpira ndo kwanza Ole kama yupo mniambie ni nani anakaaga dakika 90 kakunja nne. Hana amsha amsha ndo mana hata wachezaji pia wapo nyoronyoro.
kituko kipo hapaNimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....
Huwa siangalii game za chelsea ila yule werner angekua na urefu wa rashford dunia nzima ingizizima maana dogo ni typical lewandoski kabisa.....WE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.
✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.
✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.
✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.
=========
Embu tukiangalie kikosi chetu
=========
Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.
1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.
2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.
3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.
°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
Mimi naamini ni bora uwe n wachezaji wachache fit na wenye uwezo mzuri kuliko kuwa na squad depth ya kawaida.....maana kama hao wachache watacheza asilimia 80 ya mechi na kuonesha uwezo wa asilimia 90 basi hautaona udhaifu kwenye timu......kituko kipo hapa
sijui lipi ni bora zaidi kati ya kuwa na wachezaji wachache kwenye eneo husika wenye uwezo wa kukupa performance ya uhakika kwa kila mechi au kuwa na kundi kubwa la wachezaji eneo husika wasiokuwa na performance ya uhakika.
- chelsea wana central midfields watatu tu wenye uzoefu (ngolo + jorginho+ matteo), husikii mashabiki wa chelsea wakilalamikia tatizo la DM, sijui ball progression, ball retention, quick transition n.k
- man utd tuna central midfields sita lakini kila siku tunazizungumzia hadithi hizo kwa hizo, msimu huu tunatarajia kuingia tena sokoni kuongezea midfield mwengine.
hii dhana ya squad depth tunaipimaje?
Kuna mtu amecomment kuwa Ole is good but not great.....ni mzuri ndio ila hataweza kutuvusha katika hii hatua,.... msimu huu Sancho atakuja ndio na ataletewa wachezaji 2 wengine wazuri, ila utashangaa tunafungwa game kizembe na kucheza ovyoWE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.
✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.
✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.
✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.
=========
Embu tukiangalie kikosi chetu
=========
Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.
1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.
2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.
3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.
°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
Dahhhh yaan una compare Warner na lewandoski..Dahhhh am speechlessHuwa siangalii game za chelsea ila yule werner angekua na urefu wa rashford dunia nzima ingizizima maana dogo ni typical lewandoski kabisa.....
We na ufupi ule lakini bado wanampigia mipira mirefu na ikimkuta site anaizima vizuri tu
Mahrez alifichika vibaya mnoTuchel noma tia beki watano nyuma
Reece kafa na sterling
Chillwell kafa mahrez
Game plan ya pep kutumia wings kupata magoli ikafa kabla mechi haijaanza na mbaya zaidi hakua na plan nyingine tena akaja kupoteana kabisa baada ya kevin kuumia
Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.kituko kipo hapa