Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,393
- 17,768
Oya wadau wa humu, vipi mbona sioni pics
Marehemu alipiga chafya lakini tumezika hivyo hivyo 😅
dah...we jamaa bana umenifanya nicheke asubuhi kama chizi.. hakiyanani JF raha sana hasira zote za kufungwa zimepotea.popote alipo PEP ajue kuna mashabiki wengi wa mkopo tuna jambo letu fainali asituangushe.Marehemu alipiga chafya lakini tumezika hivyo hivyo 😅😅🍻🍻🍻🍻
Rashford ana lawama zake mkuu kwenye hii mechi.To be fair sikuona ni wapi united watakamatiwa.
Hii mechi zimeshinda mbinu na bahati na siyo wachezaji.
Vp za nyumbu wakiwa wanalia - liaHizi hapa.
View attachment 1798937 mr europa league.
View attachment 1798938
Rashid alikuwa hivi dk zote 120View attachment 1798939
Kimeumana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kufungwa ni sub? Leicester city na aston villa walipokufumua juzi kocha wako alikuwa kafanya sub?
Nasemaaaa kimeumanaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmafukuza tusheliii si mmefungwa na leicester city nyie na jumamosi kingine tena kichapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Hizi hapa.
View attachment 1798937 mr europa league.
View attachment 1798938
Rashid alikuwa hivi dk zote 120View attachment 1798939
jana tumekufa kishujaa kama simbaView attachment 823085Manchester United Trophies:
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
View attachment 823091
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
View attachment 827629
Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer
View attachment 975419
Manager: Ole Gunnar Solskjaer
League Tittles: 20
First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)
European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)
FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)
League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)
Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)
View attachment 827615
Manchester United Trophies' Cabinet
View attachment 514134
Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)
View attachment 1543668
Manchester United Premier League fixtures for 2020/21
Follow this thread for team updates!
Nasemaaaa kimeumanaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]