Nadhani umeona sub iliyofanyika. Japo hajatoka Rashford lakini katoka Greenwood ambaye ni Winga kaingia Fred. Maana Pogba anasogea mbele.
Hiki ndio nilikuwa nasema.
Angalia comment yangu kwa chini, sikuwa napinga kuingia kwa Fred. Nikichokupinga ni wewe kusema kwamba Pogba atoke, alafu Fred aingie Ili Rashford asogee mbele.