Alberto Moreno, Copue, Foyth, Funes Mori, Francis Coquelin, hawa club walizotoka huko england wasingeweza kupata vikombe maishani mwao. Ila leo hapa wakiwa na villareal watanyanyua kwapa.
Sijui ni kwanini habadiliki. Ndio maana natamani atoke Pogba asogee mbele. Maana Pogba kusaidiniana na McTominay bado naona ni shida na yeye ndio kasababisha kosa mpaka ikapatikana foul iliyozaa goli.