Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kichapo ni kichapo tu hata mkijisaulisha

Kinaharibu nini kwa manchester united? Hayupo kwenye mbio za ubingwa wala kukosa top 4 ya nini sasa nikae kuumiza akili hata kocha mwenyewe anajua ni upuuzi ila nyie mnaojinasua msicheze europa ndio mnatakiwa kutumia nguvu hiv kwa akili yako united angekuwa hana uhakika wa top 4 ungeshinda?
 
Kitanzi cha mwisho ni pale alipomtoa Baily akamwingiza Matic tukawa Vulnerable zaidi nyuma kwa kina Salah na Mane kwa sababu hakuna tena mwenye speed uwanjani.

Mi sikuangalia mkuu hii mech hata kuizungumzia nashindwa kwa sababu hakuna tulichokuwa tunatafuta niliongelea kupoteza mipira baada ya kuona watu twitter wanalalamika viungo wanapoteza sana mipira hii namba kwa next season kwa sababu ole hata kuwa na kisingizio tena pia huwa nazungumzia kipaumbele kwenye kubeba ndoo sir alex aliweka nguv kubwa epl ndio maana kukawa na utawala wa kutosha hakupotezs nguv za carabao wala fa kitu ambacho ole anashindwa kuchagua wap afie kwa mfano maguire na bruno wamecheza kila mech kila michuono wanachoka hawa kakosa epl kizembe sana japo haikuwa kwenye plan ilitokes zar tu baada ya timu zilizopewa nafasi kupotea kapigwa gem nne za timu chini ya nafasi ya 7 na droo ambapo angatia nia huku alikuwa anabeba epl bila wasi msimu ujao utakuwa mgumu sana kama wasiposajili mbadaka wa scott na fred hawa wanakaba wanapoteza pasi halafu hawana mchango timu kwenda mbele
 
Yule jamaa wa screenshot hajatuma tu bado

Kuna jamaa nilikuwa naangalia nae mech ya leicester city tuliyopigwa nikamwambia kesho arsenal anakufunga jamaa kabisha sana kasema chelsea ipo kwenye ubora nikamwambia anakufunga kwa kuwa style ya mpira nnayocheza inafanana kidogo nyie mtaingia kushambulia kwa sababu mnaamini wao wapo hovyo na pia mmezifunga timu nyingi zinazofunguka nyie mnaingia kama underdog kabisha kimoja kimelala
 
Kuna mechi tano pale December na January ndiyo zilituharibia mwelekeo pengine tungebattle na Man city mpaka dakika za mwisho
 
Ningeshinda tu kama Sheffield alivyoshinda hapo Oldi traffodi. Acha kutafuta visingizio hakuna shabiki wa Man u uingereza anayependa kufungwa na liverpool hata kama ni friendly match
 
Ningeshinda tu kama Sheffield alivyoshinda hapo Oldi traffodi. Acha kutafuta visingizio hakuna shabiki wa Man u uingereza anayependa kufungwa na liverpool

Hapo sasa nimekuelewa kwamba tulicheza na shefield united walivyokuwa wakikamia mm mbinafsi sijaumia umenifunga kipindi gani na upo wapi hayo tu
 
Ukweli ni kwamba OGS, amefanya kazi kubwa na hata improvement inaonekana wazi, kawazidi kwa mbali mno watangulizi wake(Mou, LvG na Moyes).
Lkn kwenye suala la ubingwa wa EPL bado sana aisee. Sijui ni mimi 2 au na wengine wanaona, bado tunacheza mpira wa kubahatisha.

Mm naamini ni rahisi kwa OGS kushinda UCL kuliko EPL
 
True..hata hao Liverpool hawakuwa vizuri,tuliwazawadia tu goli hizo nne kizembe.
 
Wacha nicheke tu carabao imenshinda ndo itakuwa UEFA
 
Unavyosema Ole kamzidi mpaka Mou ni katika lipi? Mou alicheza na wachezaji wazee ambao wamefurushwa karibia wote na still alifanya vizuri ikiwa ni kuchukua na Europa. Ole amepata karibia wachezaji wote muhimu wanaohitajika, badala ya kujiuliza kwa nini timu haikufanya vizuri UEFA unasema Ole anafanya vizuri.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Msimi ujao chelsea liva zitaamka kumfukuzia city muda huo na sie sijui tutakua na mwendo gani
 
Msimi ujao chelsea liva zitaamka kumfukuzia city muda huo na sie sijui tutakua na mwendo gani

Kocha atakuwa hana kisingizio atakuwa kakaa muda mrefu sana yeye mwenyewe anatambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…