Toka PL inaanza wamechukua mara moja epl Liverpool ..
Daaaa
Tupo tunaongelea epl wewe unarukia CL..Nyie man shity mmechukuwa UEFA Mara ngapi vile mpaka sasa hamna tofauti na Arse8
Tupo tunaongelea epl wewe unarukia CL..
una akili wewe ?
Pambania top 4 ..Punguza kelele mpaka sasa timu yako haitambuliki nje ya uingereza
Umeanza kushabikia mpira 2014 hauwezi kuelewa kitu shukuru Sana betting na PS game zimefukafanya ushabikie soka[emoji23]Pambania top 4 ..
Wanaume tupo CL final ,tunafanya maandalizi ...
Subili draw itoke ukapambane na europa huko..
Huna uwezo wa kukaa meza moja na city tena..
Tafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..Umeanza kushabikia mpira 2014 hauwezi kuelewa kitu shukuru Sana betting na PS game zimefukafanya ushabikie soka[emoji23]
Tafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..
Unafuatilia wanaume tuaoenda kusimamisha dunia may 2019 ...
Mtu wa kuongea na mimi ni chelsea tu ..
Unateseka ukiwa wapi ...We NGURUWE may 2019 utarudi vipi huko? We akili zako zisha yumba toka tukutie kuni mfululizo
Ss unazani huyo ni tm gn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..
Unafuatilia wanaume tuaoenda kusimamisha dunia may 2021 ...
Mtu wa kuongea na mimi ni chelsea tu ..
Final na villareal gn, upo naye huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unateseka ukiwa wapi ...
Wewe si unafinal na villarial ,mbona ukaza ubongo ..
Unajilinganisha na wanaume wa CL
Nakukumbusha tuTafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..
Unafuatilia wanaume tuaoenda kusimamisha dunia may 2021 ...
Mtu wa kuongea na mimi ni chelsea tu ..
Unateseka ukiwa wapi ...
Wewe si unafinal na villarial ,mbona ukaza ubongo ..
Unajilinganisha na wanaume wa CL
Vipi huko kwenu [emoji28][emoji28].Yalipigwa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]