Kukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.Natumiaga MAN U KAMA NATAFUTA MATOKEO TU .
ila kama ku enjoy football natumia Arsenal.
sema kukuba na skills najiona bado sana
Labda anapima heart rateWadau eeh, imekuwaje jana Tuanzabe amecheza huku amevaa smart watch ni kwamba refa alikuwa hajakagua wachezaji kabla ya gameView attachment 1781736
Hakuna mzee mbwembwe tu mpaka awe ana weza kuitumia Tactical vizuri kuna watu wanatumia Legacy na wanakaba vizuri tuKukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.
Nimeanza kucheza kwa kuseti team tactics kwenye defense "Balanced" na attack "Possession" wachezaji wanakua hawaachani sana na hawaendi mbele wote hivyo nabaki na mabeki na CDM anaweza kukimbiza mpira bila kuharibu line ya mabeki.
Barcelona ilinishinda kwakua ni nyepesi mno hata ukiseti hivi bado timu nzima inamove. Beki wa Barcelona ana skills za nyota 5. Skills najua kiasi chake, kumtoka beki kwa skills hakunipigi chenga
Na mtu anayetumia tactics hua naona mgumu sana kumfunga so we jamaa tuishie humu humu jf.
kwenye kupima vitu kama hivo huwa kuna vest wanavaa zinakuwa na Gprs ambayo huwa inafanya kazi ya kumonitor kila kitu akiwa uwanjaniLabda anapima heart rate
Naona kama unataka kunikimbia kijanja mkuuKukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.
Nimeanza kucheza kwa kuseti team tactics kwenye defense "Balanced" na attack "Possession" wachezaji wanakua hawaachani sana na hawaendi mbele wote hivyo nabaki na mabeki na CDM anaweza kukimbiza mpira bila kuharibu line ya mabeki.
Barcelona ilinishinda kwakua ni nyepesi mno hata ukiseti hivi bado timu nzima inamove. Beki wa Barcelona ana skills za nyota 5. Skills najua kiasi chake, kumtoka beki kwa skills hakunipigi chenga
Ulitaka OGS afanye nini kwa fixture ngumu kama hizi? Yaliyotokea jana ni fundisho kwa yale waliyoyafanya mashabiki wa United ile siku ya game ya Liverpool.KWELI HAKIKWEPEKI..HUYU OGS MJINGA SANA..ANATINYIMA RAHA KIJINGA SANA..NANI AKAANGALIE HAO WATOTO SASA[emoji51] UTADHANI WATOTO WA ARSENAL BHANA..pambaf.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
mkuu mushajiandaa na michuano ya Europe League, nimesikia juventus watakuwepo
mkuu mushajiandaa na michuano ya Europe League, nimesikia juventus watakuwepo
nyie wahuni msimu huu muliuchezea sana.[emoji3]
nyie wahuni msimu huu muliuchezea sana.
kutoka kulishambulia kombe mpaka kushambuliwa na watoto wadogo uwanjani kwenu
Haina shida wewe siku ukijiona uko on fire nishtue haina kusema umeamka vibaya.Naona kama unataka kunikimbia kijanja mkuu
Kwa fixture ya Juve na points zilivyo huko Europa wanaweza kupaepukamkuu mushajiandaa na michuano ya Europe League, nimesikia juventus watakuwepo
Toka PL inaanza wamechukua mara moja epl Liverpool ..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1782255
Toka PL inaanza wamechukua mara moja epl Liverpool ..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1782255