Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa leo matokeo hayaniumi, kwasababu jambo la leo limekaa kifootball zaidi pale nafas ya pili hatuwez shuka, pia its better UEFA aende Leicester kuliko aende Liverpool ndio maana kapangiwa kikosi cha Fairplay

Congrats tp those who will toasr blue moon tonight
 
Unavyoandika tu unaonyesha hujui kitu
. Wewe unacheza fifa gani? Mi nacheza zote
FIFA 21 MKUU NIKO NAJITAHIDI SANA KING WA APA DAR UNAMJUA ASHRAFU?


Alinibahatisha goals 8 kwa bila
 
Ubingwa tulisha ukosa kitambo kwasasa tujiandae na fainali, mambo ya kushangilia nafasi ya pili ni upuuzi kwa Man u. Tujipange na kutwaa mataji msimu ujao.
Mataji kwa kikosi kipi na kocha yupi?
 
Namuwekaga nafasi yake Telles sababu ya PACE


Kukaba timing tu Mkuu kwani unatumiaga Legacy au Tactical defending?
Mimi natumia legacy ila si unajua kuna wachezaji wamegewa skills na uwezo na mashine yenyewe? Mfano Douglas Costa ana pace na acceleration ila mbele ya goli finishing kanyimwa mno.

Sasa Maguire kumtoka ama uwahi kupiga chenga au ucheze L1+X na ∆ ukisema ucheze one two ya mashine anakuzuia.

Situmii united hata hivyo hua naona watu wakitumia
 
Mimi natumia Tactical mkuu


Team gani unatumia sana sana unayo iaminia?
 
Mimi natumia Tactical mkuu


Team gani unatumia sana sana unayo iaminia?
Nikitaka kumiliki mpira natumia Bayern kwa 4 2 3 1.

Nikitaka kutegemea speed natumia chelsea kwa 4 3 1 2 namuweka Werner na Pullisic kama ST nyuma yao Mount. Au city ST anakua Sterling na Aguero nyuma anakaa Kevin.

Nikitaka game iwe 50/50 natumia Arsenal au Spurs.

Wewe ndiyo united tu?
 
Natumiaga MAN U KAMA NATAFUTA MATOKEO TU .


ila kama ku enjoy football natumia Arsenal.


sema kukuba na skills najiona bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…