Amad badobado mkuu..tumpe muda next season maybe hizi carabao,fa atazicheza sana na zitamjenga.Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Amad nae alifunga na nini?Morata aliwahi funga bao kwa kisogo
Paulhivi jana Maguire nani alikuwa captain?
Anakuzwa mno ila sioni kama anaweza kuongeza kitu kikubwa sana kikosini. Halafu usisahau ni mchezaji wa kiingereza mwenye miaka 21 tu usiweke imani kubwa sana pia.Tunamhitaji?View attachment 1779661
Hata mimi nimekua nikiwaza sana kuhusu Coman.Anakuzwa mno ila sioni kama anaweza kuongeza kitu kikubwa sana kikosini. Halafu usisahau ni mchezaji wa kiingereza mwenye miaka 21 tu usiweke imani kubwa sana pia.
Tutapoteza pesa nyingi kijinga wakati hii €80M inaweza kutupatia wachezaji wawili wa maana. Kama kuna uwezekano ni kheri tupeleke €40M kwa Bayern Munich tumnunue mfaransa Kingsley Coman, 24 years old. (Release clause)
Halafu hiyo €40M nyingine twende Lille tumnunue mdachi mlinzi wa kati anaitwa Sven Bortman anaongoza jahazi la ulinzi akiwa na miaka 21 tu na wanaenda kutwaa ubingwa wa ufaransa msimu huu. Hapa tukiwa na negotiators wazuri tunaweza kumnunua hata chini ya €35M.
Mwingine ni mfaransa Jules Kounde huyu bei yake ni €60M.
Hawa wachezaj ambao hua tunawahangaikia kuwapata mwsho wa siku hua wanakuja kufanya ovyo..Tunamhitaji?View attachment 1779661
Dogo bado anapiga kikosi cha U23's uko, nadhan tusubir msimu ujao maan apa naona kam mechi zilizobak kocha anatarajia kuwin zote ko anajarb kuchezesha big players waliozoea... But I think next season atapata sana nafas..Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Sijawahi kumwangalia sana Coman akitokea kulia?..Yuko poa pia akitokea kulia? maana kushoto huwa anakimbiza mbaya.Hata mimi nimekua nikiwaza sana kuhusu Coman.
Nna wasiwasi jamaa ni glass ila uhakika ni kwamba he is better kuliko Sancho.
HaswaSijawahi kumwangalia sana Coman akitokea kulia?..Yuko poa pia akitokea kulia? maana kushoto huwa anakimbiza mbaya.
We win together, we lose together.Man U leo nipo upande wenu. Nitawapa sapoti zote mnazohitaji
Umechagua siku mbaya kuisupport Man UMan U leo nipo upande wenu. Nitawapa sapoti zote mnazohitaji
How kingsley is better than Sancho.?Hata mimi nimekua nikiwaza sana kuhusu Coman.
Nna wasiwasi jamaa ni glass ila uhakika ni kwamba he is better kuliko Sancho.
Chelsea 5 City 1Hii timu haijielewi hata inataka nini ...
Final yenyewe Europa .
.
Haina hata mvuto daaa
Kingsley: anacheza modern football.
Nisaidie zaidi hiyo modern football ya kingsley ikoje.?Kingsley: anacheza modern football.
Sancho:anacheza old football which is very easy to predict movements.