Watoto wapi?
Kipa mendy anaenda ubabu
Beki na Madrid, silva babu, Rudiger anakaribia ubabu, Azpi nae Babu, Christie Sen na Chilwell ndio wana 25 na 24.
Ukija midfield kante babu, jirginho anakaribia ubabu.
Wachezaji pekee Ambao wana qualify kuwa ni watoto ni pulisic na mount tu.
Kikosi cha wachezaji 11 wawili wakiwa watoto ni Kikosi cha watoto?