Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu walimponda sana Cavan wakati anatoka PSG ,,

Now siwaoni wala kuwasikia tena.

--Mzee.
--Majeruhi.
--Alikuwa benchi PSG.

man u tulikuwa na mshambuliaji no 9 lakini sio striker no 9.

sasa ndy imejidhihirisha tulikuwa tunahitaji no 9 aina ya cavani.

Shots.
Header zote goal..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…