Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazungu nao uwezo Wa kufikiri ni Mdogo!
 
✓Rashford ana matatizo gani?..hana self motivation kabisa mechi hizi za karibuni.

•••Ole ampumzishe kidogo maana hajitumi,anacheza kama hataki au kalazimishwa.

✓ James is useless

✓Msimu ujao itakuwa ni kosa kubwa sana kuendelea kuwategemea Fred na McTominay kwenye double pivot mpaka tunapocheza na timu zilizopanda daraja..McTominay hayupo sharp,Fred anadakwa na wapinzani kila muda..yaani tafrani..tunahitaji improvement kubwa kwenye hili eneo.


========

NUSU FAINALI YA EUROPA LEAGUE..yaani tukishindwa kwenda nusu fainali inabidi Socha ajiuzulu au afukuzwe..simple as that..hatuwezi kucheza nusu fainaili karibia sita consecutively na zote tutolewe,haiingii akilini.
 
Hili ni jukwaa la timu ambayo haina uwanja wala hati miliki ya jina lake a.k.a chelsea?
 
We jipe moyo tu ila kesho ndo utajuwa Madrid pako shwari au la hasha
 
Nyie matakataka kesho tunaenda wafundisha mpira yale mazee pale Madirid, munakaribishwa Sana muje kuona pira biriani, pira mchanganyiko na kachumbari hehehe..
Huu mwaka mtajamba cheche nawaambia maana hamtoamini Chelsea anaenda kunyanyua kwapa la UEFA na FA ..nani anabisha?
#CFC
 
Jukwaa la Chelsea limefutwa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…