Hamshuki darajaMarekani kautafuta sana mpira wa miguu kipindi cha Blatter, kaukosa.
Sasa hivi wanakuja kivingine.
Ukitaka kujua ita operate vipi Angalia ligi ya NFL Marekani, huko ndio Kina Glazer walipoanzia, ligi ambayo haina kushuka daraja, watu Wana cheza tu for fun basi.
Skysport wanafki kweli..wanangata na kupulizaNaona sky sport wamelivalia Njuga kweli...
Nahisi hata wao watapoteza mapato.
Ila inaonekana UEFA wanavinyonya vilabu vikubwa.
Hawajathibitisha ila kwa pesa waliyoweka ni kubwa sana lolote linaweza kutokea.kwa waliofatilia hili sakata nahitaji kufahamu mfumo wa ligi utakuwaje ndani ya uwanja, niliwahi kusikia nyakati za mwanzoni kabisa ya kwamba hii ligi itachezwa viwanja tofauti vya nchi kama vile marekani na nchi za kiarabu, china. Lengo kuu ni kuwapa nafasi mashabiki wa nchi tofauti kuzishuhudia team wazipendazo
Je kuna ukweli wowote,
Chief-Mkwawa na Joh Doe
Tusilikwepe hili nasi tumeshiriki kumng'oa spurs
Tottenham wamevuna walichopanda,,
Sio kweli..waliomng'oa ni wale zagreb waliomtoa kwenye europa league..yaani first leg umeshinda mbili bila unaenda kutolewa na timu ya mchangani kweli kwenye 2nd leg,kweli?..Mourinho astafu tu kwasasa,ubwatukaji zama hizi hauleti matokeo.Tusilikwepe hili nasi tumeshiriki kumng'oa spurs
Chama langu hilo pamoja sana
Hutoki kiumbe paleWazee leo vipi??,,tunawafurusha Leicester City kunako Fa Cup?
GGMU
Sure Jombaa.kufukuzwa kwa jose mourinho pamoja na kuondolewa kwa tottenham hotspurs kwenye mbio za ubingwa kumenifanya niyakumbuke kwa lazima mabandiko ya Joh Doe humu ndani.
mwanzoni kabisa mwa ligi kuu alisema tottenham hotspurs hawana kikosi cha kupigania ubingwa na hata jinsi wanavyocheza hawaonekani kama ni timu yenye uwezo wa kuleta ushindani kwa muda mrefu dhidi ya wengine.
nikupe heshima yako brother
=============
ila huyu mourinho mahesabu ya malipo ya mshahara wake inaweza kuzidiwa na fidia anayopokea pindi anapovunjishwa mkataba wake.
Jose ni shetani mwenye uhalali ndani yake, usikubali kumpa mkataba wa miaka mitatu lakini pia usikatae kumpa mkataba wa miaka 3
Bayern sidhani, maybe juve tho pirlo bado yupo kwenye kitiSure Jombaa.
Nafikiri awamu hii ataondoka na $15M alibakiza miezi 17.
Nipe utabiri wako unafikiri atajiunga na timu ipi? Bayern? Hakosagi kazi huyu Mshua.
Sure Jombaa.
Nafikiri awamu hii ataondoka na $15M alibakiza miezi 17.
Nipe utabiri wako unafikiri atajiunga na timu ipi? Bayern? Hakosagi kazi huyu Mshua.
Euro 30MSure Jombaa.
Nafikiri awamu hii ataondoka na $15M alibakiza miezi 17.
Nipe utabiri wako unafikiri atajiunga na timu ipi? Bayern? Hakosagi kazi huyu Mshua.
Perez anachofurahia ni hela tu na siburudani especially kipindi hichi ambacho madrid haiko sawa kifedha ndio maana anangangania huu mpango ufanikiweHuyu perez anang'ang'ania haya mashindano ya hizi timu kubwa hizi timu zikianza kukutana kila mech zitakuwa za kawaida ni raha sana manchester city kukutana na madrid kila baada ya miaka miwili au mitatu na zaidi sio kila mwaka watu wanakuwa na ham na visasi vya miaka mitano nyuma
Jamaa walikuwa na matarajio makubwa sana na chama lao msimu huu.kuna timu zinataka kuanzisha ligi yao, hawa jamaa na sisi tunawafuata kwao jumamosi
View attachment 1757858