Tunahitaji holding Mido mmoja mkali sana..Fred + Scott kila mechi hapana.
Greenwood amekomaa sana hadi mwili..amekuwa strong sana msimu huu,japo ameingia nyavuni few times.
Dean Henderson alikuwa na mapepe leo sijui amekula nini..mwishoni amekuja kutulia.
Captain wetu huyu kuna muda anacheza kama mlevi.
Otherwise perfomance ilikuwa poa..vdb with an assist sio mbaya.
GGMU.