kipindi cha pili kimeanza,tumekoswakoswa,same man utd
Chifu kukoswakoswa si sehemu ya mchezo?! Kuna mechi kweli timu itacheza bila kukoswakoswa?
Real attacking now more than United...51st min...corner to Real
si ndio naripoti tumekoswakoswa,kuna tatizo kwani kuripoti tumekoswakoswa!as i am writing tunaendelea kukoswakoswa....naendelea kuripoti tu mkuu
Kagawa fundi sana.
Ingekua vizuri Kama tunge ongeza la pili.