Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sub za mabeki hazifai kabisa kwani hazina tija kwa timu labda kama kuna beki kaumia

Kadi ya njano ilimfanya Rafael kucheza kwa kuogopa kadi nyingine..na Real wakagundua hilo..ndiyo maana mashambulizi yao katika kipindi hiki yametokea kulia tu...
 
PSG wanambaka Anderlecht kwao...5-0 huku Ibra akitupia magoli 4....

What misses by Antonio and Kagawa....
 
Kagawa is showing what David is missing by putting him in the bench...
 
Nani kafunga goli la Manure .... .... ... .... ... ooops nani sio jina ati ... ...Inzi lete majibu!
 
Rooney misses another chance...man...lot of missed chances..70th min
 
Back
Top Bottom