Baada ya kufungwa jana kuna possibility kubwa ya Hans Flick kwenda kufundisha Germany na atawarudisha Muller na Hummels kwenye timu ya taifanje ya mada(thread):
- joachim low alitangaza kuachia ngazi pale germany.
- klopp haitaki kazi ya ujerumani
- marco rose amekwenda borussia dortmund
- tuchel yupo chelsea
- hans flick ameshashinda kila kitu pale bayern
wajerumani wanatisha[emoji119][emoji119][emoji122]
- je! hans flick atakwenda kufundisha timu ya taifa ya ujerumani?
- je klopp atakwenda kufundisha bayern munich?
- kama klopp atakataa je bayern munich watakwenda kwa nagelsmann?
====================
Julian Nagelsmann on Lothar Matthäus claiming that he had talks with Bayern: "There were and are no talks with FC Bayern. I have no idea where Lothar got this information from. This of course also applies to my agents, there were no talks either"
=========
[Hansi Flick] to Sky Germany: "I have a contract with FC Bayern, but I always think about what's going to happen or how things will continue, whether everything is going well here and so on. My family is behind me, no matter what my decision is, whether it is at the DFB."
Jambo la kutufanya tutwae ubingwa ni kushinda mechi zote ambazo tutaishia point 87 wakati Man City anahitaji mechi nne tu kuzifikia hizo points.Mkuu fixture wise ukiangalia kwa ukaribu City anahatari ya kudondosha point si chini ya 7.....naomba nipate muda nielezee kiundani hii nikihusianisha chelsea ambao wanahitaji top four (watacheza na city), brighton alifunfwa moja game ya kwanza ila city walikuwa crueless na wanahangaika sana wakicheza na brighton then everton nao walifunga 2 bila game ya kwanza ila walikuwa vizuri kwemye key areas tu.....naamini city atadondosha point na Chelsea, brighton na everton (palace na Newcastle wanaweza kutushangaza pia kwa draw)
Yote yanawezekana mkuu.Jambo la kutufanya tutwae ubingwa ni kushinda mechi zote ambazo tutaishia point 87 wakati Man City anahitaji mechi nne tu kuzifikia hizo points.
Ili tutwae ubingwa tunatakiwa kushinda mechi zote halafu Man city apoteze walau mechi tatu zijazo ni jambo rahisi hilo ?
Kichaa kweli yani kaona iyo ndio sababu ya maana...tuna matatizo ya asili.
kuna page fulani nimeiona facebook ilimnukuu yaya toure
kwa ufupi yaya toure anasema kelechi iheanacho anastahili kushinda tena kwa mara ya pili mfululizo tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, toure ameweka msisitizo huo kwa sababu bruno fernandez ameshinda tuzo hiyo mara mbili huko mchango wake mkubwa ukiwa ni magoli ya penalty,
nimeitafuta hii nukuu kwenye vyanzo vyengine sijaipata, labda ni uongo
View attachment 1751939
Usijibu kirahisi ivi jibu ni moja tu haiwezekani....Yote yanawezekana mkuu.
Ruud Van Nistelrooy★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt?
me:- Van Nistelrooy★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1751348
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio rahisi namna hio...Mkuu fixture wise ukiangalia kwa ukaribu City anahatari ya kudondosha point si chini ya 7.....naomba nipate muda nielezee kiundani hii nikihusianisha chelsea ambao wanahitaji top four (watacheza na city), brighton alifunfwa moja game ya kwanza ila city walikuwa crueless na wanahangaika sana wakicheza na brighton then everton nao walifunga 2 bila game ya kwanza ila walikuwa vizuri kwemye key areas tu.....naamini city atadondosha point na Chelsea, brighton na everton (palace na Newcastle wanaweza kutushangaza pia kwa draw)
sawa mkuu mimi kilaza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio rahisi namna hio...
Sema ndio hivo shabiki Wa nyumbu ,unaukilaza flani ..
Man utd hana uwezo Wa kuchukua EPL ,never
He is baaaaack!!!ameamka tena.
Phil Jones was spotted by our photographers as Manchester United trained ahead of the Europa League quarter-final second leg with Granada.
View attachment 1752263
Umesahau sie ni wazee wa kutolewa nusu fainali....Utd anatakiwa ashinde hili kombe walau,,, Hakuna excuse!!!
#GGM
Sasa ukilaza unatoka wapi kwanini usijibu hoja kwa hoja ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio rahisi namna hio...
Sema ndio hivo shabiki Wa nyumbu ,unaukilaza flani ..
Man utd hana uwezo Wa kuchukua EPL ,never