J Joh Doe JF-Expert Member Joined Sep 23, 2019 Posts 1,225 Reaction score 4,822 Apr 13, 2021 #151,081 Detective J said: hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingine Click to expand... Nakubaliana wewe Jombaa kwa 100%.
Detective J said: hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingine Click to expand... Nakubaliana wewe Jombaa kwa 100%.
J Joh Doe JF-Expert Member Joined Sep 23, 2019 Posts 1,225 Reaction score 4,822 Apr 13, 2021 #151,082 PTER said: Ni kweli Anthony Martial ni wakati sasa wa ama akubali kukaa benchi au atafute timu inayoweza kuruhusu striker kutaka acheze peke yake. Click to expand... Kabisa. Ukiona mchezaji amevuka miaka 22 ila bado anacheza kama kinda huyo atacheza hivyo hivyo mpaka miaka 30 akiwa mzee.
PTER said: Ni kweli Anthony Martial ni wakati sasa wa ama akubali kukaa benchi au atafute timu inayoweza kuruhusu striker kutaka acheze peke yake. Click to expand... Kabisa. Ukiona mchezaji amevuka miaka 22 ila bado anacheza kama kinda huyo atacheza hivyo hivyo mpaka miaka 30 akiwa mzee.
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Apr 13, 2021 #151,083 Tunaenda chukua ubingwa msimu huu.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 13, 2021 #151,084 Tanayzer said: Tunaenda chukua ubingwa msimu huu. Click to expand... Ndondo cup labda
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 13, 2021 #151,085 Yani nyie matakataka mnawaza ubingwa
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Apr 13, 2021 #151,086 Ollachuga Oc said: Ndondo cup labda Click to expand... Tukichukua bado mtasema ni kombe la mbuzi, waja huwa hamuishiwi kejeli. Sent using Jamii Forums mobile app
Ollachuga Oc said: Ndondo cup labda Click to expand... Tukichukua bado mtasema ni kombe la mbuzi, waja huwa hamuishiwi kejeli. Sent using Jamii Forums mobile app
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Apr 13, 2021 #151,087 Ollachuga Oc said: Ndondo cup labda Click to expand... Man u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa.
Ollachuga Oc said: Ndondo cup labda Click to expand... Man u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa.
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Apr 13, 2021 #151,088 Tanayzer said: Tunaenda chukua ubingwa msimu huu. Click to expand... Kuna kipi umekiona mkuu ?
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Apr 13, 2021 #151,089 Hawa jamaa hilo ndiyo Sibstitution yao na Neymar hayupo hapo na wengineo. Hii ndiyo maana halisi ya kikosi kipana
Hawa jamaa hilo ndiyo Sibstitution yao na Neymar hayupo hapo na wengineo. Hii ndiyo maana halisi ya kikosi kipana
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Apr 13, 2021 #151,090 Tanayzer said: Man u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa. Click to expand... Na iwe hivyo
Tanayzer said: Man u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa. Click to expand... Na iwe hivyo
NtYga JF-Expert Member Joined Aug 23, 2018 Posts 4,945 Reaction score 12,698 Apr 14, 2021 #151,091 ★ This Manchester United run will be hard to beat in the future!★ #GGMU manutd |
NtYga JF-Expert Member Joined Aug 23, 2018 Posts 4,945 Reaction score 12,698 Apr 14, 2021 #151,092 ★The best centre-back pairings in Champions League history ★ #GGMU manutd |
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,381 Apr 14, 2021 #151,093 NtYga said: ★ This Manchester United run will be hard to beat in the future!★ #GGMU manutd | View attachment 1751340 Click to expand... Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake. Au mzee alikuwa anawaza sana EPL? Sent using Jamii Forums mobile app
NtYga said: ★ This Manchester United run will be hard to beat in the future!★ #GGMU manutd | View attachment 1751340 Click to expand... Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake. Au mzee alikuwa anawaza sana EPL? Sent using Jamii Forums mobile app
NtYga JF-Expert Member Joined Aug 23, 2018 Posts 4,945 Reaction score 12,698 Apr 14, 2021 #151,094 ★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt? me:- Van Nistelrooy★ #GGMU manutd |
★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt? me:- Van Nistelrooy★ #GGMU manutd |
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Apr 14, 2021 #151,095 PTER said: Hawa jamaa hilo ndiyo Sibstitution yao na Neymar hayupo hapo na wengineo. Hii ndiyo maana halisi ya kikosi kipanaView attachment 1751320View attachment 1751322 Click to expand... Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern noma
PTER said: Hawa jamaa hilo ndiyo Sibstitution yao na Neymar hayupo hapo na wengineo. Hii ndiyo maana halisi ya kikosi kipanaView attachment 1751320View attachment 1751322 Click to expand... Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern noma
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Apr 14, 2021 #151,096 ze-dudu said: Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern noma Click to expand... Watajenga future mpaka lini ? Hata msimu uliopita walibahatisha tu kufika final
ze-dudu said: Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern noma Click to expand... Watajenga future mpaka lini ? Hata msimu uliopita walibahatisha tu kufika final
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Apr 14, 2021 #151,097 PTER said: Watajenga future mpaka lini ? Hata msimu uliopita walibahatisha tu kufika final Click to expand... Hapo mwisho Bingwa psg msimu huu..
PTER said: Watajenga future mpaka lini ? Hata msimu uliopita walibahatisha tu kufika final Click to expand... Hapo mwisho Bingwa psg msimu huu..
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Apr 14, 2021 #151,098 ze-dudu said: Hapo mwisho Bingwa psg msimu huu.. Click to expand... Labda msimu huu ngoja tuone watakapofika
ze-dudu said: Hapo mwisho Bingwa psg msimu huu.. Click to expand... Labda msimu huu ngoja tuone watakapofika
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Apr 14, 2021 #151,099 NtYga said: ★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt? me:- Van Nistelrooy★ #GGMU manutd | View attachment 1751348 Click to expand... Alan Smith Sent using Jamii Forums mobile app
NtYga said: ★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt? me:- Van Nistelrooy★ #GGMU manutd | View attachment 1751348 Click to expand... Alan Smith Sent using Jamii Forums mobile app
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Apr 14, 2021 #151,100 M kathias said: Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake. Au mzee alikuwa anawaza sana EPL? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu UCL co mchezo mchezo unaweza ukachukua msimu mmoja ukakaa miaka 50 ndio unachukua tena. Sent using Jamii Forums mobile app
M kathias said: Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake. Au mzee alikuwa anawaza sana EPL? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu UCL co mchezo mchezo unaweza ukachukua msimu mmoja ukakaa miaka 50 ndio unachukua tena. Sent using Jamii Forums mobile app