Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna timu inaweza kumtaka rash wala mchezaji yeyote wa man utd ambaye man utd bado wanampango nae wa muda mrefu sababu man utd hawako kwenye biashara ya kukuza vipaji na kuuza ili kutengeneza hela. period.
upo sahihi, lakini tusisahau mchezaji husika anao uhuru wa kufanya maamuzi ya kuhama timu licha ya kwamba ana kikwazo cha mkataba, mfano ronaldo aliondoka timu zote mbili zikiwa bado zinamuhitaji.
 
tumefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa kuongezea nafasi mbili za kiutawala ambazo hapo mwanzoni hazikuwepo nazo ni director of football na technical director. Nafasi zote hizo zina umuhimu mkubwa sana kiupande wetu hususani kwa wakati huu ambao majukumu na mahitaji ya mwalimu yanafifishwa na nguvu ya wawekezaji kwa baadhi ya timu. Ni matumaini yangu tutaondokewa na mkwamo wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi na ya kiufundi pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa. Jambo la muhimu ni uwepo wa mashirikiano kati ya pande tano muhimu zinazoshikilia mustakabali wa timu. CEO, chief negotiator bwana matt judge, scouting, benchi la ufundi na hao wawili. acha tuwahukumu pindi watakapoanza kazi
 
A step in the right direction cheo cha DOF alipokitema Woodward.

Ila hapa sasa kibarua kipo cha kumsubiri Ole aevolve positively.
 
A step in the right direction cheo cha DOF alipokitema Woodward.

Ila hapa sasa kibarua kipo cha kumsubiri Ole aevolve positively.
mwenye mamlaka ya mwisho kiuamuzi si anabaki kuwa ed woodward na mkono wake wa kulia bwana matt judge? unajua sijapata muda wa kufuatilia kiundani hizi taarifa za uteuzi. kumjadili ole unapaswa uwe na ndimi mbili kama wanasiasa wa ccm wakiongozwa na kigwangwala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…