Simba wanasambaza pira ile balaa..Simba wanacheza mpira mzuri kuliko timu yangu ya united....
Anthony Martial.. Pele wa Man United kwa mujibu wa Ed WoodwardAnanikumbusha Louis Saha akienda kuchezea timu ya taifa ndiyo majeruhi mwishowe ni kuuzwa kwa bei poaView attachment 1742633
Kocha hana jipya, kila siku fomesheni hyo hyo tu, inaboa sn.Leo tunaingia hivi.
Ila uzi umepoa sana, kimsingi hakuna la ziada msimu huu. Ligi imeisha City akiwa bingwa na United ndani ya top 4.View attachment 1743435
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu unapendekeza formation gani?🤣🤣🤣Kocha hana jipya, kila siku fomesheni hyo hyo tu, inaboa sn.