Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii aina ya uchezaji wetu kila timu tunayocheza nayo inageuka kuwa prime Barcelona hata mwalimu hana mwarobain wake.

Wakati anafundisha Molde Solkjaer alikuwa anafundisha mfumo wa kudominate possession kwa kutumia mfumo wa 4 3 3 kama alioanza nao pale United.

Sasa hivi tunavyocheza hata kuangalia mpira inakera sana hakuna ubunifu wowote kwenye kikosi zaidi ya kukimbiakimbia hovyo hovyo.

Timu haiwezi tena kumiliki mpira hata kwa dakika moja labda uwe mpira wa kurusha nao mrushaji achelewe kuurusha tu.

Binafsi siumizwi sana na matokeo tunayopata ila naumizwa sana uchezaji wa team yetu wa kubahatisha bahatisha tu wachezaji wetu hata kufanya runs za kutengeneza passing lanes hawawezi ni kama wote ndiyo academy graduates.
 
Labda Ole kachoka ila tatizo la kumtimua legend litaibua hisia tofauti
 
Ukiangalia timu ya Casey Stone inacheza vizuri mara dufu kuliko timu ya Solkjaer.
Kina Zelem, Turner, James n co wanacheza mpira wa kueleweka kuliko wa kubahatisha bahatisha tu wa Ole.
 
Hii aina ya uchezaji wetu kila timu tunayocheza nayo inageuka kuwa prime Barcelona hata mwalimu hana mwarobain wake.

Wakati anafundisha Molde Solkjaer alikuwa anafundisha mfumo wa kudominate possession kwa kutumia mfumo wa 4 3 3 kama alioanza nao pale United.

Sasa hivi tunavyocheza hata kuangalia mpira inakera sana hakuna ubunifu wowote kwenye kikosi zaidi ya kukimbiakimbia hovyo hovyo.

Timu haiwezi tena kumiliki mpira hata kwa dakika moja labda uwe mpira wa kurusha nao mrushaji achelewe kuurusha tu.

Binafsi siumizwi sana na matokeo tunayopata ila naumizwa sana uchezaji wa team yetu wa kubahatisha bahatisha tu wachezaji wetu hata kufanya runs za kutengeneza passing lanes hawawezi ni kama wote ndiyo academy graduates.
Bila Bruno sijui Ole angekuwa wapi to be honest..
 
Labda Ole kachoka ila tatizo la kumtimua legend litaibua hisia tofauti
Binafsi naanza kuona ni bora tuanze upya kuliko kuendelea kujilisha matumaini hewa na mtu ambaye huwa anajimaliza mwenyewe.

Mechi yetu na Leceister jamaa central midfielders wawili wakapelekewa kucheza wings.

Captain anafanya makosa yale yale msimu mzima kwanini usimvue hata armband ?

Timu inacheza 45 minutes bila kutengeneza shambulizi lolote la maana dhidi ya timu inayojiexpose kama Leceister city halafu kocha kakaa tu as if wanaongoza goli tano.
 
Laissez faire attitude ya Ole imeshaathiri team nzima kiasi wachezaji wanacheza as if hawana cha kupoteza tena.

Kwenye kikosi chetu mpaka sasa tumejaza watumishi hewa na wanaongezeka kila siku akiwemo Ole na benchi lake la ufundi.
Kwanza msimu huu ilibidi tubebe kombe au tukimbizane na City hadi mwisho..shaajabu tumeachwa mbali.

✓Ole kimbinu hajaivaa.

✓Ameshindwa kutengeneza consistent system ya kiuchezaji.

✓Muoga muogo na anataka kumfurahisha kila mtu kikosini.

Tusishangae Tuchel akabeba kombe kabla yetu.
 
Timu yetu inakosa personalities muhimu kikosini kuanzia benchi la ufundi mpaka kwenye timu ukiondoa Bruno, Scot na Shaw.

Ukiangalia benchi letu la ufundi unakosa ni mtu gani anaweza kuwa na personality ya kuheshimika kwa wachezaji. Ole na Carrick are NICE UNCLES.
Mike Phelan anaonekana kama acquaintance kwenye benchi la ufundi.

Heri Nicky Butt angepandishwa kuwa first team coach kama alivyokuwa Rene Moulsteen kwa Ferguson.
 
Hongera akina dada
PSX_20210327_221350.jpg
 
Back
Top Bottom