Ukweli mchungu sana huu.....Timu gani duniani itatoa £130M kumnunua Rashford?
Rashford haendani na thamani kamwe hakuna club duniani itatoa hiyo pesa kumnunua Rashford.
Atastaafu hapo old Trafford.
Club zitatoa £130M kwa haaland sio kwa kichwa panzi Rasford.
Taja timu moja tu kwanza iliyoonyesha interest ya kutaka kumnunua rashford......halafu ni timu gani duniani ipo tayari kutoa iyo ela kumnunua huyo mchezajiWatu aina yako munaweza kubishana hata na radio.
Watu aina yako munaweza kubishana hata na radio.
Kutoa? Mbona umewazia mbali. Hata timu yoyote kumtaka Rashford haijawahi kutokea.Timu gani duniani itatoa £130M kumnunua Rashford?
Rashford haendani na hiyo thamani kamwe hakuna club duniani itatoa hiyo pesa kumnunua Rashford.
Atastaafu hapo old Trafford.
Club zitatoa £130M kwa haaland sio kwa kichwa panzi Rashford.
Haaahaaaa mkuu inaonekana we wa kitambo Sana😀Nimeikubali sana avatar name yako mkuu, kwa Mimi mtu wa longi namuelewa sana Huyo mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kusikia timu kumtaka Messi ?Kutoa? Mbona umewazia mbali. Hata timu yoyote kumtaka Rashford haijawahi kutokea.
Man united ni timu kubwa sana kiasi kwamba timu chache sana zitapambana nayo sokoni kusajili wachezaji.Kutoa? Mbona umewazia mbali. Hata timu yoyote kumtaka Rashford haijawahi kutokea.
Fuatilia mpira.Man united ni timu kubwa sana kiasi kwamba timu chache sana zitapambana nayo sokoni kusajili wachezaji.
Ndiyo maana unaona Rashford hatakiwi na timu yoyote kwa sababu hata kama inamhitaji haitampata.
Angekuwa yuko kwenye vilabu vidogo kama Arsenal, Tottenham au Chelsea angeshaondoka siku nyingi tu.
Kama kuna timu ilimtaka Messi na ikashindwa maana yake hakuna timu ya kucompete na hivi vilabu vitatu sokoni.Fuatilia mpira.
Usifuatilie timu.
Ukianza kufuatilia mpira utajua klabu ngapi zilishamtaka Messi.
Mfano haujui kwamba pamoja na huo ukubwa unaoudai dirisha lililopita mlimtaka Reguilon badala yake akaenda Spurs unayoiita ndogo. Mmemtaka Thiago akaenda Liva, Sancho timu kubwa nyie mkashindwa bei, Haaland timu kubwa nyie mkashindwa, Werner timu kubwa nyie mkashindwa akaenda timu ndogo Chelsea.
Mmesajili Ighalo, Cavani, Bruno, Telles, Dony, Amad na Pellistr nitajie timu ambazo zilitaka hawa wachezaji nyinyi mkazipiku hizo timu.
Again, fuatilia mpira. Usifuatilie timu.
Hahaha kama umeelewa nilichoandika ilitakiwa uone kua mmeshindwa kumsajili Werner, Thiago, Reguilon, Sancho na Haaland.Kama kuna timu ilimtaka Messi na ikashindwa maana yake hakuna timu ya kucompete na hivi vilabu vitatu sokoni.
Man united.
Barcelona.
Real Madrid.
Kama kuna mchezaji hazikumnunua ujue hazikuweka pesa tu.
Turudi kwa Rashford kama angekuwa timu ndogo kama Arsenal angekuwa alishaondoka muda mrefu tu.Fuatilia mpira.
Usifuatilie timu.
Ukianza kufuatilia mpira utajua klabu ngapi zilishamtaka Messi.
Mfano haujui kwamba pamoja na huo ukubwa unaoudai dirisha lililopita mlimtaka Reguilon badala yake akaenda Spurs unayoiita ndogo. Mmemtaka Thiago akaenda Liva, Sancho timu kubwa nyie mkashindwa bei, Haaland timu kubwa nyie mkashindwa, Werner timu kubwa nyie mkashindwa akaenda timu ndogo Chelsea.
Mmesajili Ighalo, Cavani, Bruno, Telles, Dony, Amad na Pellistr nitajie timu ambazo zilitaka hawa wachezaji nyinyi mkazipiku hizo timu.
Again, fuatilia mpira. Usifuatilie timu.
Reguilon hakuwa prime target ya United ndiyo maana hakusajiliwa united.Hahaha kama umeelewa nilichoandika ilitakiwa uone kua mmeshindwa kumsajili Werner, Thiago, Reguilon, Sancho na Haaland.
Pia unatakiwa utaje klabu ambazo ziligombea kuwasajili Bruno, Cavani, Ighalo, Amad na Pellistr halafu united ikashinda hizo mbio.
Hizi spinning hazisaidii. Nimetoa ushauri, fuatilia mpira usifuatilie timu.
Hujachoka spinning?😂Turudi kwa Rashford kama angekuwa timu ndogo kama Arsenal angekuwa alishaondoka muda mrefu tu.
Arsenal ilishanyang'anywa kikosi kizima na Man city na United na Barcelona zikanunua wachezaji wenu muhimu wawili, hata Rashford angekuwa Arsenal hakuna timu ingeshindwa kumnunua angeshaondoka zamani lakini hawezi kuondoka kwa sababu club aliyopo anapata kila kitu anachokihitaji.
Ni fedheha kwa mchezaji kariba ya Rashford kucheza timu ndogo kama Arsenal asingekubali abadani
Lakini kuwa United ni legacy kubwa sana kwake hadi Borris Johnson anamsikiliza dogo Rashford.