Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dunia ya leo kiboko dogo anataka kupewa mshahara ambao messi na ronaldo hawana....
Ni pesa ndefu sana ila as long as The people behind Manchester United ni Glazer's family, na aje tu ale pesa. Cha muhimu afanye kazi itakayomleta United.

Hii mishahara ya wachezaji ni kutoka mifukoni mwa mashabiki, humu asilimia kubwa tunaichangia hii timu kupitia TV rights (broadcasting revenue) kila msimu. Glazers hawaionei huruma hii club, mimi ni nani nisifurahie Haaland kuja United kisa atapokea £350K/week.
 

Martial 250 sancheza sijui ilikuwa 500 halafu ufungaji wa kusasua kwa nn asipewe mtu ambaye anaweza kufanya kazi kwa ufanisi lingard alikuwa kwenye 160
 
★McTominay: "Mason [Greenwood] was brilliant [against West Ham], he was top – top, top drawer. He was so direct, he was very confident, whenever he had the ball, but yeah as I say every week: 'Mason, now that’s the benchmark'."★

#GGMU


manutd |
 

 
Kocha angechagua mashindano yapi ya kukomaa nakumbuka tulianza ligi kwa kusuasua sana kwa sababu ya michezo mingi hawa wanachoka na kuumia
Fa
Carabao
europa league piga chini tu

Huko kwenye haya mashindano weka wa kina shola na mengi au brandon william
 
Mkuu vp ulisema na wewe utaanza kwenda nao kwa njia hizi, vp unaweza?

Nimenyoosha mikono hiyo spid hata 5G itakuwa ipo slow mwache awanyooshe wengine wananyimwa ugali na maharage nyumbani kwao wanakuja kutolea hasira hapa
 
Huyu jamaa wakumuangalia sana mech iliyopita alikimbia balaa kumbe ana lengo lake



Franck Kessié (AC Milan) in 2017: "I like the Premier League and in particular #mufc, the club I dream of playing for. Chelsea? That is also a big club, nobody would turn them down, but I dream of United."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…