Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Safi sana ndugu unafanya analysis za kueleweka!
 
Yule Mzee Wa kazi gani sahz,tutakuwa ni watu wa kuchukua wazee waje wastaafie kwetu kila wakati!?
 
Bado hajafukuzwa tu...
Anaongezewa mkataba tena.

Kwangu mimi mwalimu mzuri wa kumpokea Ole ni Erik Ten Hag wa Ajax ni kocha ambaye anacheza mpira mzuri usio na chembe ya uoga.

Mwingine ni Gasperin wa Atalanta japo team yake huwa inaruhusu kufungwa magoli mengi sana kwa ligi ya Epl itabidi abadili mbinu.
 
Daah atalanta wazee wa piga nikupige...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…