VdB hawezi kupiga mpira wa Pogba tuache utani.lazima tujue ole ni kocha si mchezaji so akisha toa maelezo ni jukumu la wachezaji kufuata so wakulaumiwa ni wachezaji
walio fanya uzembeee si kocha pia jana hatukuwa na sub za maana kutokana na injured tulio nayo ya wachezaji tegemezi
hivyo lazima tukubali jana man u tumecheza ovyo sana aswa first half pia wachezaji wetu ni wachezaji wa msimu leo yupo vizuri kesho under perfomance so kama mashabiki wa man u lazima tujifunze kuishi nalo na tatizo ni
hakuna kugombea namba ndo sababu unaona wachezaji wanacheza ovyooo sanaaaa
ingekuwa rashford ana mbadala unao mtoa jasho kwa kumweka bench angepambana au martrl so
tuombe dogo adam awe wamoto sana amweke martial bench then tuendele ku deal na rash ford
vard de berk angepata mech xa mara kwa mara pogga au fred au matic tungemsahau
all in all GGGM
Huyu jamaa alikosaje hili goli ?View attachment 1723422
Ss nadhani huyu mtoto ataanza kucheza, ukimuangalia ni Messi mtupu na nadhani ndio maana kachagua jezi namba 19 nahisi naye anajilinganisha na La pulga.★Amad Diallo’s game by numbers vs. AC Milan (45 mins):
100% tackles won
84% pass accuracy
28 touches
4 ball recoveries
1 shot
1 goal
United account opened. [emoji736]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1723776
unamaanisha Ramadhani singano MessiSs nadhani huyu mtoto ataanza kucheza, ukimuangalia ni Messi mtupu na nadhani ndio maana kachagua jezi namba 19 nahisi naye anajilinganisha na La pulga.
Hata goli lake kwa mbali linafanana na la Messi alilotufunga kwenye fainali nakumbuka ilikuwa 2009 km sikosei.
Hapo ungeandika Magwaya ingepedeza zaidi.
Mkodivwaaa mwenzie huyo★Just Eric Bailly being Eric Bailly [emoji23]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd |View attachment 1723759View attachment 1723760
ze-dudu weka neno plz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]He did a great job building a good squad. But I don't know if he has what it takes to take us further, only time will tell because I don't think he's leaving any time soon.
Bado hajafukuzwa tu....He did a great job building a good squad. But I don't know if he has what it takes to take us further, only time will tell because I don't think he's leaving any time soon.