da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
i had to laugh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari hatari mkuu, jamaa kwenye huo uzi amebaki peke yake na anapost tu yn uzi una comments zaidi ya 1k, 90% ni zake mwenyewe cz watu wanaukimbia una misamiati migumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usisahau kumeza pain killer kabla ya kulala
Ule uzi utakuja kusimama sehemu mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona mwamba alivyo mbabe, uzi una zaidi ya 30k comments na 90% ni zake mwenyewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule uzi utakuja kusimama sehemu mbili
Magu akitoka madarakani au mtoa post afe
Uzi una miaka sita jamaa anakomaa nao tu mpaka kieleweke...i had to laugh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa mnakuwa na maneno machafu sn tm yetu inapoharibu, lkn dawa yenu ipo Billions
Uzi una miaka sita jamaa anakomaa nao tu mpaka kieleweke...
Mkuu ila Billions kiboko aisee mpk wanamuomba moderator ampige ban, eti mpangaji anataka kumpa notice mwenye nyumba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa sasa nimegundua hilo ustaarabu naweka kando hapa ntakuwa nakomaa nao wale wanaojidai watata ukiwa na maneno mazur haya ma fala yanataka kutufanya wote wajinga kwa sasa akitia mtu mguu na kauli za kipuuzi sitomuacha akija kwa heshima tunamaliza kiheshima
Mkuu ila Billions kiboko aisee mpk wanamuomba moderator ampige ban, eti mpangaji anataka kumpa notice mwenye nyumba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe nakwenda huko kuna kamoja kalianza huko juu kengeendelea na lugha chafu nami ningekuwa nakwenda nacho vile kanataka vingine vina id mbili bado tunakomaa navyo hivyo hivyo
Penandez leo hajapata penati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe nakwenda huko kuna kamoja kalianza huko juu kengeendelea na lugha chafu nami ningekuwa nakwenda nacho vile kanataka vingine vina id mbili bado tunakomaa navyo hivyo hivyo
Penandez leo hajapata penati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Daah umeme ndo tatizo nyie tanesco wengi mko manure[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio unatoka usingizini nini
Daah umeme ndo tatizo nyie tanesco wengi mko manure[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app