mwisho wa siku tunakosa vyoote, na kwa namna EPL ilivokaa tukiporomoka maana tunaenda kuchezea kwenye nafas ambazo hata europa hatutaiona.
"sizitaki mbichi hizi" kauli za kushndwaMkuu mm kila siku nasema kipaumbele kingekuwa ni mech za ligi kuu tu huku kungine kuongeza majeruh martial tayar kaumia europa anapigania la nn kila siku naongea hilo europa,carabo na fa havina maana ndio maana unaona hata sir alex hana rekod za hayo makombe aliweka msukumo kwenye ligi tu
Kama ulivyo pata ww au sio
atleast tungekuwa tunaongoza goli zaidi ya moja,Kuanzia dakika ya 73 timu imecheza na mabeki 5 viungo wa kukaba 3. Wachezaji pekee wa ushambulizi walikuwa wawili tu Mason na Amad. Kwa dakika 20 tumecheza kwa kujilinda zaidi sikushtuka waliposawazisha.
Maguire,Scot,Matic(warefu) na viazi wengine pale nyuma wamemkosea sana dogo...alikuwa anatupa ushindi na goli lakeDogo Diallo ndiye pekee nmeona amehuzunika sn ila wengine wote wakiongozwa na kocha wanachukulia poa tu.
"sizitaki mbichi hizi" kauli za kushndwaligi ipi mtayopambania nyie pundamlia
Game management skills kwa Ole ipo chini sana. Huwa hajiulizi kwa nini tukicheza defensively timu inakua dhaifu?atleast tungekuwa tunaongoza goli zaidi ya moja,
ila kigoli kimoja ndo cha kulinda kweli, afu sio leo tuu hii timu sasa haiaminiki, mtu unaondoka dk ya 90 ila kesho unakuja ambiwa mlitoa suluhu,
Huyu jamaa rutashubanyuma kiboko aisee
sosha hata apewe nan management skills yake ni mbovu and kachangia sana kushuka kwa performance za wachezaj kwa kuwa misposition mfano naona alianza jichanganya kwa dialo kumuweka winga ya kushoto wakat si position yake, kumtumia martial kama winga, kuswitch mara leo rashid 9 kesho winga ya kulia keshokutwa kushoto etcGame management skills kwa Ole ipo chini sana. Huwa hajiulizi kwa nini tukicheza defensively timu inakua dhaifu?
Nguvu zote mnakuja kumalizia kwa city ,Milan anakuja kuwapelekea moto hapo OTHapo hatujafungwa vivimba macho vinatoa maneno utajua ukubwa wa hili li timu viwatu vinavutika toka machakani mbona jumapili hamkutokea hapa kusema man city kapiga mpira
Nguvu zote mnakuja kumalizia kwa city ,Milan anakuja kuwapelekea moto hapo OT
Nguvu ya soda tu
Man utd sio timu ni genge LA wahuni
Westahm anakuja kuwapelekea moto mwingine mkali
Hatari mkuu★Unaitwaje nikapime akili huko★
Huyu mtu si jajua ana maana gan!!!??Hatari mkuu
Why Magufuli administration misses the point on Government splurge
We have always been long on applauding both the effort and intent but short in appraising the effectiveness of drastic measures declared and vigorously pursued by our post colonial administrations. Nyerere was lauded for Azimio la Arusha but he later admitted the policy tools and directions...www.jamiiforums.com
Huwa mnakuwa na maneno machafu sn tm yetu inapoharibu, lkn dawa yenu ipo BillionsMkuu inaonekana umeumia sana utazani hiyi timu ni ya bibi yako. Hebu tafuna Jojo kisha ujinyonge nayo.
Hatari hatari mkuu, jamaa kwenye huo uzi amebaki peke yake na anapost tu yn uzi una comments zaidi ya 1k, 90% ni zake mwenyewe cz watu wanaukimbia una misamiati migumuHuyu mtu si jajua ana maana gan!!!??
Wewe ndio umeupata huoni kilehele chako kimekuleta kwenye thread na kujibu post za wanaume? Utaendelea kukalishwa kwenye chupa mtu mwenye shobo hiyo dawa yake