Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha ushabiki maandazi, Milan wamecheza vizuri mno tena wamewazidi mbali mno. Tena kwa mchezaji mmoja mmoja ndio hatari madogo wanachezea mpira ni hatari, yaani unatamani mda wote wawe na mpira uone udambwi udambwi

Ushabiki maandazi wa baba yako nini anayokununulia kwenu? Wewe unaumia na nini sasa mimi nikiwa shabiki maandazi? Kuna kitu unataka kujifunza kupitia post zangu? Zinakukera pita kishoto tafuta zinazokufurahisha nikikwambia ac milan wamecheza mpira unaongeza miaka ya kuishi duniani? Unapenda kusikia yanayokufurahisha ili uishi duniani maika mingi
 
Hapo hatujafungwa vivimba macho vinatoa maneno utajua ukubwa wa hili li timu viwatu vinavutika toka machakani mbona jumapili hamkutokea hapa kusema man city kapiga mpira
 
makosa ya OGS leo

1.unamtoa kiungo mchezeshaji (bruno) unaingiza kiungo mkabaji (fred) wakati matic ilitakiwa ndo atoke aingie fred

2.luke shaw kwa sabab tuu mechi ya man city alicheza kwa mfumo wa kupandisha timu na kuinitiate shambulizi bhas OGS kaona hata left wing itamfaa, so leo kaona shawa na telles wote wacheze pamoja,

3.bisaka sijaliona kosa lake kwa leo though nimeona mara nyingi bailly akishuka upande wa AWN kusaidia ila haikuwa sub ya muhimu may be labda ni maandalizi kwa mech ya WHU,

IN SHORT OGS hana mbinu ni kama bado anafanya majaribio na tunaweza sema bado hajajua anatafuta first 11 ya aina gani na ukizingatia anashindwa kutumia mifumo mingine zaid ya huu wa 4-2-3-1 kutokana na uhaba wa strikers
 
Kalia chupa mzee baba, pole sana hiyo ni sare tu na uko na hasira hivyo je, ungefugwa!??
 
Kalia chupa mzee baba, pole sana hiyo ni sare tu na uko na hasira hivyo je, ungefugwa!??

Kama ulivyokalia huko kwenu muda huu mbona jumapili hukuja na hiyo pumba yako ya kwamba city kacheza mpira? Au macho yalitoboka nini?
 

Mkuu mm kila siku nasema kipaumbele kingekuwa ni mech za ligi kuu tu huku kungine kuongeza majeruh martial tayar kaumia europa anapigania la nn kila siku naongea hilo europa,carabo na fa havina maana ndio maana unaona hata sir alex hana rekod za hayo makombe aliweka msukumo kwenye ligi tu
 
mwisho wa siku tunakosa vyoote, na kwa namna EPL ilivokaa tukiporomoka maana tunaenda kuchezea kwenye nafas ambazo hata europa hatutaiona.
 
Kama ulivyo pata ww au sio
Wewe ndio unatakiwa upewe maana toka jumapili unaishi kwa mateso sasa kwa akili yako unafikir droo imetuumiza wewe endele kupamba na hali yako hapa ukija na vishobo vyako utaambulia zero
 
Timu yetu ni wazembe sn kwenye marking hasa zinapopigwa kona yn mara nyingi huu usenge umekuwepo na it seems km dawa imekosekana.
Kuanzia dakika ya 73 timu imecheza na mabeki 5 viungo wa kukaba 3. Wachezaji pekee wa ushambulizi walikuwa wawili tu Mason na Amad.

Kwa dakika 20 tumecheza kwa kujilinda zaidi sikushtuka waliposawazisha. Game management skills kwa Ole ipo chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…