Bruno na Martial walishangilia goli la pili kwa kukumbatiana wakiwa nje ya uwanja (ilikuwa the best scene kwangu) ushindi ukisindikizwa na kimvua.Scott alifunga goli zuri sana dhidi ya city mwaka jana assist ya Ederson Moraes bonge la goli hii mech ilikuwa tamu sana kipindi bruno ndio mpyaaaa
Bruno na Martial walishangilia goli la pili kwa kukumbatiana wakiwa nje ya uwanja (ilikuwa the best scene kwangu) ushindi ukisindikizwa na kimvua.
Kumfunga City ni raha sana kwasababu huwa tunakuwa underrated sana dhidi yao ila katika misimu hii miwili City kaambulia point moja tu, pia mashabiki wake ni wachache ila wanakera jinsi wanavyoongea maneno ya shombo huku timu yao ikiwa haipo hata robo ya mafanikio ya United.
Liverpool ndiyo wapinzani halisi wa United, msimu huu niliombea kama timu yangu isipobeba ubingwa wa EPL basi abebe City ila siyo Liverpool. Mbungi ya North West Derby inakutana miamba ya soka la Uingereza, Manchester Derby inakuwa na ukubwa kwasababu za ubora wa City wa sasa ila North West Derby hata Liverpool awe mbovu vipi anaweza asitoe points 3 kwa United.
Massimilliano Allegry.Kocha awe nani mkuu binafsi sijawahi kufikiria solskjaer afukuzwe maana sioni kocha mwingine mzur huko bench zaidi ya pep na klopp wengine wote level za solskjaer tu piga nikupige
Massimilliano Allegry.
Leornado Jadim.
Tolloi
Eric Ten Hag.
Marco Rose.
Didier Deschamps
Laurent Blanc
Sisi tunataka mtabe wa ligi
Kweli sana...Kocha awe nani mkuu binafsi sijawahi kufikiria solskjaer afukuzwe maana sioni kocha mwingine mzur huko bench zaidi ya pep na klopp wengine wote level za solskjaer tu piga nikupige
hali ikiendelea hivi hizi timu za wamarekani zitafuata nyayo za barcelona kwa madeni.Kimasihara masihara msimu wa 2021/2022 tunaweza kucheza tena na restrictions,no fans uwanjani..Hii corona hii sikudhani itakuwa balaa hivi
ndiye nani huyu na anafundisha timu gani.Tolloi
ameshasajiliwa na borussia dortmund,Marco Rose.
Niliinted kuandika Gian Piero Gasperin nikachanganya na kocha wa Basketball.ndiye nani huyu na anafundisha timu gani.
Mpira wa marekani ndo ule unaitwa American soccer?hali ikiendelea hivi hizi timu za wamarekani zitafuata nyayo za barcelona kwa madeni.
hali ni mbaya sana, man utd wanapoteza paundi millioni 4 kwa kila mechi iliotakiwa kuchezwa old trafford
Hana presha acha afunge tuJesse Lingard has scored four goals in six Premier League appearances for West Ham, as many as he netted in his previous 38 games in the competition for Man Utd.