The reason kwamba pep n klopp wnabadilishana vijiti haiwezi tofautisha na ule wakati hata kidogo. Unatak kunambia arsenal ya wenger mbovu kuliko hii. Chelsea ya wakati ule na ya sahivi? Man city ya wakati ule na hii vimetofautiana rekodi 2 ila ile ilikuwa na quality sana. Afu uingereza top six ni mbwe mbwe tu hawa wanamaliza msimu wana point 60+ wangeweza mpiku fergie? Afu usimweke van persie kama nd aliplay role kubwa sna kuliko fergie wakati msimu jana wake tuikuwa tumenyang'anwa kombe siku ya mwisho kwa magoli na tuliongoza muda mrefu sana.Lazima ukubali kuwa ugumu ungekuwepo wa kiwango cha juu kabisa..sasa hivi timu zimeimarika,inabidi uwe vizuri kweli..mfano msimu wa 2012/2013 hatukuwa hata vizuri lakini tulibeba ligi(leave aside RVP effect)..nowdays kuna big six na ukiingia kichwa kichwa kwa kudhani wewe ni mkubwa lazima uchezee.
Unawaita waje wakukune huo mkundu sio
That is what you get when you use McFred as a shield for two incompetent centre backs..
0-0
ujio wa winga mpya wa kulia mfano wa sancho utakuwa na maana gani kwa amad diallo?Wing ya kulia
nafikiri usajili wa donny ulitokanwa zaidi na urahisi wake, klabu ina mahusiano mazuri sana na CEO wa ajax bwana edwin van der sar jambo ambalo lilileta urahisi sana wa kimazungumzo ya kibiashara kati ya pande mbili, halafu thamani yake ilikuwa ni nusu ya gharama za usajili wa jack grealish.Kama walikuwa wameshamsajili Bruno Fernandez hawakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kumsajili Donny kwa sababu ni midfielders ambao hawana ball retention capacity wanapocheza, japokuwa Donny na Bruno wote ni wachezaji wazuri na wanatofautiana quality lakini wana weakness inayokaribiana hawatunzi mpira timu inapokuwa
wana uzembe unaofanana:Center backs wetu kuendelea kuwa pazia msimu huu ni ishara kuwa either hawaendani kiuchezaji au wanauzembe unaofana.
kama itatokezea paul ameomba kuondoka basi nafasi yake izibwe na jack grealish kwa lazima, ndiye mwenye uwezo wa kutatua tatizo la ball retention..Mpaka sasa United inahitaji usajili tena wa wachezaji watatu muhimu ili timu iweze kuwa na balance nzuri.
Wing ya kulia, Center back mmoja na Central Midfielder au Holding atakaye complement weakness za Bruno na Donny.
True.James can run non stop for days but just doesn`t have the quality when he gets the ball.
Namekuelewa sanakama itatokezea paul ameomba kuondoka basi nafasi yake izibwe na jack grealish kwa lazima, ndiye mwenye uwezo wa kutatua tatizo la ball retention..
imagine unamweka pamoja declan rice / ndidi na scott mctominay kama ole ataendelea na mfumo huu. Tupate mwendawazimu mfano wa kante au matteo kovacic.
both martial na rashford walipaswa wagombanie nafasi ya winga ndipo akili zitakapowakaa sawa.
greenwood arudishwe namba 9, apambane na cavani.
kama ed woodward hana mpango wa kuleta winga wa kulia ni bora amad diallo apewe nafasi (hii itategemea zaidi na matokeo ya wiki hii ambayo yatatupa mustakabali mzima wa ligi)
Wakati mwingine mwalimu wetu anafail sana kwenye management ya kikosi chetu yawezekana tuna wachezaji wa kufunika mapungufu yetu lakini mwalimu hajajua awatumie vipi.kama itatokezea paul ameomba kuondoka basi nafasi yake izibwe na jack grealish kwa lazima, ndiye mwenye uwezo wa kutatua tatizo la ball retention..
imagine unamweka pamoja declan rice / ndidi na scott mctominay kama ole ataendelea na mfumo huu. Tupate mwendawazimu mfano wa kante au matteo kovacic.
both martial na rashford walipaswa wagombanie nafasi ya winga ndipo akili zitakapowakaa sawa.
greenwood arudishwe namba 9, apambane na cavani.
kama ed woodward hana mpango wa kuleta winga wa kulia ni bora amad diallo apewe nafasi (hii itategemea zaidi na matokeo ya wiki hii ambayo yatatupa mustakabali mzima wa ligi)
Mkuu haya yote uliyosema yasingelikuwa na mashiko kama yale magoli anayotunyima Rashford yangeingia nyavuni.Mpaka sasa tungekuwa title contender iwapo recruitment department ingekuwa inatatua matatizo sahihi ya United badala ya kufanya patchwork.
Kama walikuwa wameshamsajili Bruno Fernandez hawakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kumsajili Donny kwa sababu ni midfielders ambao hawana ball retention capacity wanapocheza, japokuwa Donny na Bruno wote ni wachezaji wazuri na wanatofautiana quality lakini wana weakness inayokaribiana hawatunzi mpira timu inapokuwa nao tatizo hili linakuwa kubwa zaidi ukizingatia pia Fred na Scot hawana uwezo mkubwa wa possession pia.
Mpaka sasa United inahitaji usajili tena wa wachezaji watatu muhimu ili timu iweze kuwa na balance nzuri.
Wing ya kulia, Center back mmoja na Central Midfielder au Holding atakaye complement weakness za Bruno na Donny.
Pogba anaweza kufanya hiyo kazi ya CM lakini anahitaji holding midfielder makini na mpambanaji sawa na Ng'olo Kante, Joshua Kimmich, Goretzeka au Fernandinho.
Center backs wetu kuendelea kuwa pazia msimu huu ni ishara kuwa either hawaendani kiuchezaji au wanauzembe unaofana.
Tuendelee kuupa muda nafasi huenda ukatupa mwanga zaidi juu ya mwelekeo wa timu yetu.
Kikubwa zaidi wanauzembe unaofanana na hutokea kwa wakati mmoja.wana uzembe unaofanana:
wote ni wazito wa kunusa mipira ya kross zile za chini (wanasita sana kuweka mwili ukiongezea na ujinga wa de gea wa kushindwa kutoka ndani ya box dogo inakuwa hatari zaidi. hii kazi anaiweza bailly peke yake ya kutoa sadaka mwili wake.
wana ujinga unaotofautiana kidogo: lindeloff ni dhaifu kwa mipira ya juu, harry ana udhaifu wa kuokoa mipira ya juu kwa nguvu