Summer inakuja.
Ninavyoona Mimi eneo linalohitaji mtu kwa haraka sana ni DM.
Waliopo kwasasa sioni anaefaa kuongoza dimba la Kati la timu kubwa hii.
Matic, umri umeenda na ameanza kupungukiwa uwezo.
Fred na McT wako limited sana.
Tupate mtu Kama Teun Koopmeiners(Az Alkmaar-Eredivisie)
Pale Kati patulie.
Dogo huyu kwanza ni kiongozi, bei yake haitokuwa kubwa.
Pia anaweza kucheza Kama LCB.
Kingine anakuja kukutana na mdutch mwenzie.
Ongezea CB na ST(itapendeza ukimpata Halaand)- Martial mpeleke kwa mkopo Inter au Barcerlona.
Wakuu mnaionaje Midfield yetu, he inahitaji marekebisho yoyote?