Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umekuja mbio kujibu baada ya dakika 90 kuisha hahahahah...okey ngoja tuone safari yenu itaishia wapi, nitakuja kuendeleza hii comment.
Next ni nyie ..ci ndio?? Sasa tuleteeni cjui Rashid Makame uyo Magwaya na mwenzake bishoo mashoo uone kitu tutafanya.
#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Bado hajafukuzwa tu....
 
Na van gaal tulichukua FA kama sijakosea
Chini ya mourinho tulichukua europa na sahani la community pia
Chini ya Solskjaer tume improve kivipi sasa Mkuu Kitoabu na wengine wengi mnaomuunga mkono OGS.
 
Mkuu naamini solskjaer kapata target zake za kwanza kwa asilimia kubwa ukilinganisha na makocha waliomtanglia mbali na SAF.
Kwahiyo tukimkosa Sancho kocha hawezi kuja na plan B ili kupata matokeo? Fikiria kwamba sancho aje halafu akaandamwa na majeruhi ndani ya wiki kadhaa,bado tutatoa hii excuse? City wamecheza bila forward line yao lakini wakapat matokeo.
Binafsi naona OGS atupatie walau hii europa tuanze kurudisha imani yetu kwake,hana sababu ya kutochukua kikombe msimu huu.
 
Tuma salam kwa watu watatu.
Usisahau kuchagua na nyimbo ya kusindikizia salam yako.
Napenda kutuma salama kwa Olesendeka akiwa kwenye kona za uwanja OT, natuma pia salam kwa Dgo la kinyaturu bwana Rashid Makame na kaka mkubwa kaka wa boma mzee Magwaya..napenda kuwaambia Kwamba Sisi Chelsea tumewasha moto hivyo wakae makini usije kuwapitia.

Nyimbo ya kusindikizia salamu kibao kutoka kwa dgo sholoMwamba nyimbo siijui jina.
#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Summer inakuja.
Ninavyoona Mimi eneo linalohitaji mtu kwa haraka sana ni DM.
Waliopo kwasasa sioni anaefaa kuongoza dimba la Kati la timu kubwa hii.

Matic, umri umeenda na ameanza kupungukiwa uwezo.

Fred na McT wako limited sana.

Tupate mtu Kama Teun Koopmeiners(Az Alkmaar-Eredivisie)
Pale Kati patulie.
Dogo huyu kwanza ni kiongozi, bei yake haitokuwa kubwa.
Pia anaweza kucheza Kama LCB.
Kingine anakuja kukutana na mdutch mwenzie.

Ongezea CB na ST(itapendeza ukimpata Halaand)- Martial mpeleke kwa mkopo Inter au Barcerlona.

Wakuu mnaionaje Midfield yetu, he inahitaji marekebisho yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…