(Rashford) Huyu kijana hatari sana..mikimbio ile ile tuliisema hapa imetupatia goli. Raha ys ukocha ukifanikiwa kupata mchezaji anayeweza kukimbia na mpira kutoka katikati ya uwanja mpaka golini kwa adui, kazi yako inakuwa nyepeesi. Ukiachana na Rashford hapo United mwingine alikuwa anaweza hii kitu ni Lingard.
Ukiondoa Haaland nionyeshe striker yoyote kwenye ligi tano za Ulaya mwenye walau nusu ya uwezo wa Rashford au Martial kwa sasa ambaye unaweza kupeleka pesa ukamsajili.

Mimi sihitaji kutafuta watu wa kuwalinganisha na Rashford au Martial..hawa wote ni wapuuzi na tutaendelea kuwa substandard kwa kuwategema..inabidi tusajili wachezaji wa kutupa magoli na balance ya ukweli..Grealish,Hallaand.

mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva amefunga mabao 19 katika michezo 22 msimu huu.
Goli nyingi ukijumlisha martial , rashford,cavan na greenwood