Tumchukie Martial tunavyotaka ila hawezi kukosa chansi nyingi kama Rashford anavyokosa..
Mtoto kama hana akili ya mpira vile..
Pira tunalocheza ni pira magimbi.
Kuweza tu kuwa eneo la kukosa goli kwa wakati sahihi hicho ndicho kipaji haswa. Ile mikimbio ya Rashford inawapa pressure sana wapinzani. Kwa waliowahi kucheza mpira kama mimi wanajua huu msemo "tulinde goli letu kwa kushambulia sana" ndicho anachofanya Rashford. Huyo Masho wako hana mkimbio wowote anasaidia nini timu?Tumchukie Martial tunavyotaka ila hawezi kukosa chansi nyingi kama Rashford anavyokosa..
Mtoto kama hana akili ya mpira vile..
Pira tunalocheza ni pira magimbi.
Kama hujawahi kucheza mpira unaweza kuongea vitu kama hivi.Mkuu nakuambia ukweli kutegemea Rashford na Martini hatufiki popote angalia nafasi wanazokosa.. wananikera kweli hawa watoto.
Hakuna lolote..ujinga tu..Kuweza tu kuwa eneo la kukosa goli kwa wakati sahihi hicho ndicho kipaji haswa. Ile mikimbio ya Rashford inawapa pressure sana wapinzani. Kwa waliowahi kucheza mpira kama mimi wanajua huu msemo "tulinde goli letu kwa kushambulia sana" ndicho anachofanya Rashford. Huyo Masho wako hana mkimbio wowote anasaidia nini timu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama hujawahi kucheza mpira unaweza kuongea vitu kama hivi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Eti anasema anawapa pressure mabeki?..sisi tunataka pressure au magoli?..Sawa endelea kuwatetea hivyi hivyo..unafikiri watu wote wanaosema hivyo hawacheza mpira? Kataa ukubali kutegemea hawa watoto wawili hatuwezi fika au chukua chochote labda wabadilike.
Cavani ni beki ?Sosha anatakiwa kutafuta mshambuliaji la sivyo hali itakuwa mbaya sana hapo baadae
Hajui asemaloEti anasema anawapa pressure mabeki?..sisi tunataka pressure au magoli?..
Tunatakiwa tuinvest tena huku mbele
Msimu wa 2021/2022 hatuwezi kumtegemea Cavani,otherwise tuwe tunataniaCavani ni beki ?
Katoa assist ya goliKina dialo wapewe nafasi maana rashford hakuna anachofanya zaidi ya kukimbia
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Ukiondoa Haaland nionyeshe striker yoyote kwenye ligi tano za Ulaya mwenye walau nusu ya uwezo wa Rashford au Martial kwa sasa ambaye unaweza kupeleka pesa ukamsajili.Msimu wa 2021/2022 hatuwezi kumtegemea Cavani,otherwise tuwe tunatania
Assist ndy nafasi zingne alizopoteza je?Katoa assist ya goli