Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★2020/21 UEFA Youth League has been cancelled. United had been drawn to play Real Madrid.★

#BBC
#GGMU


manutd |
 
well, that is exactly what I am talking about, you are just rephrasing it in time dimensions, when you throw the money all over, you get anything instantly, anything, but most times, you get something in the like of Maguire, which is not quite a big problem as compared to short term successes.
 
10 points clear..tumeshaachwa vibaya sana.

Tupambane tu sasa tusitoke nje ya top four..maana mwisho wa msimu tunaweza kujikuta tunacheza Europa League tena next season.


Matchday pia leo..vs Real Sociadad.hizi timu za Spain huwa zinatutesa sana na mpira wetu huu wa kuunga unga..Anyway,let's wait baadae.
 
Sare tena iyo
 
Hata Pep ukimuuliza hilo swali la ubingwa atakujibu kama OGS alivyojibu. Mpira unachezwa hadi kwenye akili. Kocha yeyote anayejua mpira anajua pia kucheza mind game. Leo hii ukikiri kuwa Man U au Man City ni title contender media wanapokea na habari inawarudia wachezaji kama overbudden ambayo itazaa tension itakayowalazimu kucheza vibaya. wachezaji wanatakiwa wawe at easy na kufocus mechi moja tu inayofuata. hili suala la title inajumuisha hadi mechi zote zilizobaki hakuna mtu maenye akili yuko tayari kuwabebesha wachezaji wake mizigo ya kuwazia ubingwa wakati mechi tu ijayo ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…