sijawahi kuwa na imani na lindeloef kwa miaka 3 sasa.....tukizungunzia uhalisia lindeloef ametucost sana point kwa uzembe na kutokuwa sharp game ile ya southampton jamaa waliyosawazisha dakika mbovu ......
Goli za sevilla zile na game na leipzig pia.....sio mtu wa kuanza labda sub....ajabu Bailly analuwaga mzima kabisa ila Ole anamuanzisha Lindeloef hata akifanya makosa game 2 au 3 mfululizo huwa anamuanzisha tu.
Wapi nimetaka Lindelof atoke ?
bailly ni mzuri kuliko lindeloef ila huwa anakaa nje hata akiwa 100 fitMkuu, kwamfano hapo tunamtoa Lindolof angeanza nani kati ya beki tulizo nazo?
Hapo ushindi ni sheria
Ndio unajua leo....jamaa kama roboti hanyambuliki kabisaaaMaguire tumepigwa, tutafute beki nyingine kati
Utopolo tudraw ina wahusu raha ya kocha ni kuona yupo nafasi ya 2 tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Anastahili mshahara mkubwa au Makombe?
Amalize msimu wake aendeNaangalia mechi naona wachezaji wakicheza nakumbuka ole sendeka alishasema yeye hana shida na ubingwa kwahio mashabiki wala tusijipe stress na mtu ambaye hana nia ya ubingwa.
Lindelof yeye anaweza kupa kombe ganiDogo yupi kutoka academy anaweza kucheza epl akakupa kombe ?
Wao washinde ila ukweli unasemwaUshindi hapo ni sheria.
Ole wako wewe shabiki maandazi tushinde alafu uanze kujumuika nasi.
Ushindi hapo ni sheria.
Ole wako wewe shabiki maandazi tushinde alafu uanze kujumuika nasi.